YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Wazazi wake nawapa Pole hasa mams yake haya matumbo ya akina mama yanabeba mengi na kuzaa vingi vinavyoeleweka na visivyoelewekaHayo yamewekwa wazi na mbunge wa viti maalum, Halima James Mdee akihojiwa na Wasafi Fm leo asubuhi.
My take:
Vijana mnakwama wapi? Lishangazi hilo lipo free changamkieni fursa
View attachment 2624249
Pole sana mama Mzazi wa Halima Mdee