mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Lesbian wazuri Ni wale wanaovaa kike,,ambao huwezi kuwatambua,,Michakato Ianze Fika Dodoma Anakaa Area D
Kuna lesbian wa aina 2.
1-wanaovaa kama jike Dume.
2- ambao hawavai kama jike Dume na Ni ngumu sn kumtambuwa,,
Huyo ambaye havai kama jike Dume,,
Mkuu ni hatari sn..
Namla mmoja mwanzoni sikugunduwa Ila baadae akanifungukia kwamba lesbian..
Mkuu ni balaa na nusu..
Mtoto mzr wa sura,
Umbo,
Yupo so sexy
Na wala sikugunduwa kama lesbian.