Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
#jobless boys😂
watu wanaona yaani usipopata mtoto umefeli maisha.... shallow thinking🚮Its a normal thing
Usipoolewa,usipozaa.yaani ni shidawatu wanaona yaani usipopata mtoto umefeli maisha.... shallow thinking🚮
sema inabidi ujikaze😅 kila mtu atakuangalia vibaya na kusema una mikosi....Usipoolewa,usipozaa.yaani ni shida
Si wanasema amewekeza kwa Ke mwenzie!Hayo yamewekwa wazi na mbunge wa viti maalum, Halima James Mdee akihojiwa na Wasafi Fm leo asubuhi.
My take:
Vijana mnakwama wapi? Lishangazi hilo lipo free changamkieni fursa
View attachment 2624249
Mikosi inatoka wapi kama maisha yanaenda vizuri? Tatizo sie binadamusema inabidi ujikaze😅 kila mtu atakuangalia vibaya na kusema una mikosi....
watu wana imani potofu kwamba ni lazima kuoa/kuolewa na kupata watoto.... dini pia zinachangiaMikosi inatoka wapi kama maisha yanaenda vizuri? Tatizo sie binadamu