Halima Mdee punguza ulaghai, unadanganyaje umma kuwa akaunti za benki za wabunge waliofungwa zilikuwa na kiwango chini ya Tsh. Milioni 1?

Hao hao tunaowachangia leo siku wakipata madalaka wanajisahau kabisa na watatuona siye wanyonge na tuliowapigania wajinga cc Kinana.Makamba.Nape / vs Maghu
 
Hawa jamaa walifanya maandamano haramu ambayo yalisabisha polisi kutumia risasi za moto na matokeo yake risasi ikamuua mwanafunzi aliyekuwa kwenye dalala. Post yako ilikuwa "Wakifanya mnawakamata wakiacha mnawasema,.......
Zuio haram la kufanya siasa hujalalisikia?
 
Hao hao tunaowachangia leo siku wakipata madalaka wanajisahau kabisa na watatuona siye wanyonge na tuliowapigania wajinga cc Kinana.Makamba.Nape / vs Maghu
Upo sahihi kwa 100% Mheshimiwa Mbowe tulimpigia kura huku Hai mwaka 2015 na ahadi kibao za kutuletea maendeleo hatahivyo baada ya kupata ubunge ametutelekeza wapiga kura wake kana kwamba jimbo halina Mbunge. Huwa tunaishia kumuona kwenye luninga akiwa mahakamani Kisutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio ujue kwa Tanzania hakuna mwanasiasa mwenye uchungu na hii nchi wote ni wachumia tumbo huyo mdee anayesema hivyo amesahau kuhusu ile yard pale jogoo
 
Wajinga waliochanga. watu wanamahela hafu mnawachangia . Hata ivyo waliochanga wanahela sio walala hoi kama sisi wengine. Mana hata mimi ningekuwa The Don ningewachangia

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha ccm waliomchangia Mashinji ni wajinga?
Unamaanisha JPM aliyejaribu kujipendekeza kutaka kuchangia kwa Mchungaji Msigwa naye ni mjinga?

SAMAHANI LAKINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kufanya siasa ni lazima iambatane na maandamano ya kejeli na matusi dhidi ya serikali iliyo madarakani?????
 
Mdee katudanganya aisee. Ina maana hata mshahara wa february hakulipwa??
 
Karudir kumsikiliza co unaibuka tu utafikiri umetoka shomoni. Chadema co mafisadi kama ndg zako. Yaani cjui mmerogwa au ni laana. Hamna point hata kidogo mnaongea na kuandika pumba
 
Ni nani alilazimishwa kuchangia?
Mtaje huyo mbumbu tumjue@
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…