Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zuio haram la kufanya siasa hujalalisikia?Hawa jamaa walifanya maandamano haramu ambayo yalisabisha polisi kutumia risasi za moto na matokeo yake risasi ikamuua mwanafunzi aliyekuwa kwenye dalala. Post yako ilikuwa "Wakifanya mnawakamata wakiacha mnawasema,.......
Upo sahihi kwa 100% Mheshimiwa Mbowe tulimpigia kura huku Hai mwaka 2015 na ahadi kibao za kutuletea maendeleo hatahivyo baada ya kupata ubunge ametutelekeza wapiga kura wake kana kwamba jimbo halina Mbunge. Huwa tunaishia kumuona kwenye luninga akiwa mahakamani KisutuHao hao tunaowachangia leo siku wakipata madalaka wanajisahau kabisa na watatuona siye wanyonge na tuliowapigania wajinga cc Kinana.Makamba.Nape / vs Maghu
Hapo ndio ujue kwa Tanzania hakuna mwanasiasa mwenye uchungu na hii nchi wote ni wachumia tumbo huyo mdee anayesema hivyo amesahau kuhusu ile yard pale jogooUpo sahihi kwa 100% Mheshimiwa Mbowe tulimpigia kura huku Hai mwaka 2015 na ahadi kibao za kutuletea maendeleo hatahivyo baada ya kupata ubunge ametutelekeza wapiga kura wake kana kwamba jimbo halina Mbunge. Huwa tunaishia kumuona kwenye luninga akiwa mahakamani Kisutu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye tetemeko la Kagera nilichangia Tsh.2000/= yangu lakini michango haikuwafikia waliokusudiwa kuchangiwa.Huu ni ulaghai wa wazi kabisa.
Wamefanya fujo wao,wamehukuwa wao,lakini faini tunalipa sisi walipakodi wanyonge!
Duh[emoji1241]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha ccm waliomchangia Mashinji ni wajinga?Wajinga waliochanga. watu wanamahela hafu mnawachangia . Hata ivyo waliochanga wanahela sio walala hoi kama sisi wengine. Mana hata mimi ningekuwa The Don ningewachangia
Sent using Jamii Forums mobile app
yes walipa kodi pesa zenu zimetumika kumlipia Mashiji.Huu ni ulaghai wa wazi kabisa.
Wamefanya fujo wao,wamehukuwa wao,lakini faini tunalipa sisi walipakodi wanyonge!
Duh[emoji1241]
Sent using Jamii Forums mobile app
Karudir kumsikiliza co unaibuka tu utafikiri umetoka shomoni. Chadema co mafisadi kama ndg zako. Yaani cjui mmerogwa au ni laana. Hamna point hata kidogo mnaongea na kuandika pumbaJana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.
Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.
Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.
ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.
Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.
Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Mashinji kachangiwa na chama mkoa wa Dar. Haikutumika nguvu yeyote kukamua kidogo cha walalahoi. Acha kulinganisha dhuluma za CHADEMA na utaratibu uliotumiwa na CCMUnamaanisha ccm waliomchangia Mashinji ni wajinga?
Unamaanisha JPM aliyejaribu kujipendekeza kutaka kuchangia kwa Mchungaji Msigwa naye ni mjinga?
SAMAHANI LAKINI
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani we umelipa tsh ngapi? na ni nani alikulazimisha kulipa?Huu ni ulaghai wa wazi kabisa.
Wamefanya fujo wao,wamehukuwa wao,lakini faini tunalipa sisi walipakodi wanyonge!
Duh[emoji1241]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umelazimishwa kuchangiaHuu ni ulaghai wa wazi kabisa.
Wamefanya fujo wao,wamehukuwa wao,lakini faini tunalipa sisi walipakodi wanyonge!
Duh[emoji1241]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si Jasho lake vipi unataka kufa kwa kihoroHalima Mdee akaunti yake ina milioni 230 .
Kweli wewe ni mtu mkweliHata kama zingekuwa hazijafungiwa wangetoaje pesa wakiwa Gerezani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nani alilazimishwa kuchangia?Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.
Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.
Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.
ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.
Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.
Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Unamaanisha ccm waliomchangia Mashinji ni wajinga?
Unamaanisha JPM aliyejaribu kujipendekeza kutaka kuchangia kwa Mchungaji Msigwa naye ni mjinga?
SAMAHANI LAKINI
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu,wewe umelipa bei gani kweli?halafu nakumbuka hawakumlazimisha MTU waliomba,sasa wewe kama umeombwa na umetoa kwa hiari yako vipi ulalamike JF?Huu ni ulaghai wa wazi kabisa.
Wamefanya fujo wao,wamehukuwa wao,lakini faini tunalipa sisi walipakodi wanyonge!
Duh[emoji1241]
Sent using Jamii Forums mobile app