james; inawezekana wewe cleokippo.nndio umeshindwa kumuelewa halima
ila alichoongea pale kina maana sana , hii nchi ujue ina utajiri wa kutisha, ni nchi ambayo ina kila raslimari
hivyo kinachotakiwa ni kukomaa kwanza na matumizi bora ya raslimari zetu, inapokuja miraji mikubwa sana ya kimkakati ndio tuombe msaada
lakini sisi unakuta hata ka inshu kadogo tu tunahitaji kukopa sasa hii sio kitu kizur sana,
nchi kukopa pesa kuboresha miundombinu ya elimu maana yake ime fail kabisa kupata hata iyo pesa ndogo toka kwenye vyanzo vyake
miradi kama ile ya SGR & BWAWA LA NYERERE ni miradi mikubwa sana hata tukikopa sio mbaya sana lakini hii midogo tufanye kwa pesa yetu
kwaiyo halima yupo sahihi sana sababu ile mikopo tunayopewa ina riba sasa huoni kama tutakwama?
halafu hata ki mentality imejengeka kwamba akili ukishaielekeza uko maana yake kila utakacho plan kufanya bas cha kwanza kabisa utaangalia ukamkope nan
Ndio maana hata mama mwenyewe kaweka wazi kwamba fursa yeyote ya mkopo ikitokea lazima yeye akope tu bila kuangalia ratio ya deni imekaaje
kwa kufanya hivyo anaamini kuwa iyo ndio njia sahihi
james; inawezekana wewe ndio umeshindwa kumuelewa halima
ila alichoongea pale kina maana sana , hii nchi ujue ina utajiri wa kutisha, ni nchi ambayo ina kila raslimari
hivyo kinachotakiwa ni kukomaa kwanza na matumizi bora ya raslimari zetu, inapokuja miraji mikubwa sana ya kimkakati ndio tuombe msaada
lakini sisi unakuta hata ka inshu kadogo tu tunahitaji kukopa sasa hii sio kitu kizur sana,
nchi kukopa pesa kuboresha miundombinu ya elimu maana yake ime fail kabisa kupata hata iyo pesa ndogo toka kwenye vyanzo vyake
miradi kama ile ya SGR & BWAWA LA NYERERE ni miradi mikubwa sana hata tukikopa sio mbaya sana lakini hii midogo tufanye kwa pesa yetu
kwaiyo halima yupo sahihi sana sababu ile mikopo tunayopewa ina riba sasa huoni kama tutakwama?
halafu hata ki mentality imejengeka kwamba akili ukishaielekeza uko maana yake kila utakacho plan kufanya bas cha kwanza kabisa utaangalia ukamkope nan
Ndio maana hata mama mwenyewe kaweka wazi kwamba fursa yeyote ya mkopo ikitokea lazima yeye akope tu bila kuangalia ratio ya deni imekaaje
kwa kufanya hivyo anaamini kuwa iyo ndio njia sahihi ya kutuletea maendeleo , sasa bado hajatufahamisha pato la ndani nalo linafanya kazi gani au kama hatuingizi hata buku aseme ili tujue kwamba tanzania hatuna kabisa pato la ndani
ya kutuletea maendeleo , sasa bado hajatufahamisha pato la ndani nalo linafanya kazi gani au kama hatuingizi hata buku aseme ili tujue kwamba tanzania hatun