Halima Mdee: Serikali iache kukimbilia kukopa inadumaza akili

Halima Mdee: Serikali iache kukimbilia kukopa inadumaza akili

Tatizo je hatuna Sera ya Taifa kuhusu kujitegemea, na kama ipo kwa nini haitumiki?

Haiwezekani Rais A; wa chama hicho akasema "No to mikopo" then anakuja Rais B; toka chama kilekile anasema "Ili tuendelee mikopo haikwepeki".

Kama Taifa, Je tunajua tunapotaka kwenda.?
 
Tatizo je hatuna Sera ya Taifa kuhusu kujitegemea, na kama ipo kwa nini haitumiki?

Haiwezekani Rais A wa chama hicho akasema no tu mikopo then anakuja Rais B toka chama kilekile anasema ili tuendelee mikopo haikwepeki.

Kama taifa, Je tunajua tunapotaka kwenda.
Kwa hii katiba ya kijinga hakuna namna tutaendelea kukopa sn
 
Hivi kuna nchi isiyo kopa kweli, jambo la msingi ni kuona namna bora ya matumizi ya fedha za mikopo ni namna gani zinatumika kama zinafanikisha ujenzi wa miradi na utoaji wa huduma za kumnufaisha mwananchi kuna shida gani au ni mradi tu mbunge wa upinzani uonekane umeongea bungeni.
Kukopa unakopa ila kama una njia nyingine ya kupata fedha ambao itapunguza mikopo basi unafuata hiyo njia na unakopa kidogo.
 
Haya maneno ungesema ukiwa kwenu Manzese ungeeleweka bwashee!
Nayasema nikiwa kwetu Ikungulyabashashi

53A9C287-A6F7-4CCE-8ACE-8D71CF5C8534.jpeg
 
Rather than begging to be fed (though even this comes with strings attached) we should ask for the opportunity to excel so as we can feed ourselves...
 
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi...
Bora kukopa kulilo kupora pesa za raiya kwenye account zao.

Bora kukopa kuliko kupora uhuru wa watu wa kutoa maoni tene kwenye taifa huru (wengine walipigwa risasi na wengine kupotezwa).

Bora kukopa kuliko kulipa wabunge 19 walioingizwa bungeni kinyemela baada ya kuiba uchaguzi.

Bora kukopa kuliko kuwa na wakuu wa mikoa na Ma DC wanaendesha magenge ya wahuni na kupora watu kama yule mpuuzi aliyepo kisongo.

Bora kukopa kuliko kupora KOROSHO za wakulima.

Bora kukopa kuliko kupandisha viwango vya tozo za bodi za mikopo na kuua mifuko ya jamii.

AKOPE TU ILIMRADI MKOLONI MWEUSI- NYAPARA HALIPO TENAA
 
Kumbe kuna sehem tunadai t300 Dah mama kopaa endelea kukopa deni likatwe kwenye ile tr,300[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.

Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha kuwa serikali imeshindwa kukusanya zaidi ya trillioni 300 zilizokwama kutokana kesi kushindwa kuamliwa mahakamani.

Cha ajabu badala ya serikali kujikita kuzikwamua hizo hela zilizokwama na kuongeza mapato badala yake wanakimbilia kuomba misaada na kukopa kunakopelekea kuongeza deni la taifa.

Kameanza tena
 
Acheni shobo, halima mdee sio mbunge wa Chadema
 
Aliyekuwa spika, Bwana Ndugai; Chagueni moja kati ya Tozo ama mikopo

Rais Samia: Mimi nimechagua Mikopo, kwani Mimi ndiye wa kwanza kukopa? Waliopita hamkuwaona wakikopa?? Tena Bwana Ndugai unikome
Mama mshambenga yulee
 
Kuna wakati kuwa mjanja ndio huwa Ujinga wenyewe...

Mdee nae ameanza kuongea wakati wa kula,,, achunge sana mdomo wake... Watawala wa Lumumba hawapendi kusikia Ukweli..

Ila alichosema ni sawa kabisa,,, Kama Nchi hatutakiwi kuishi maisha ya Asante..

Tujitafakari.
 
Tanzania Kuendelea kukopa Pesa isiyokuwa na Tija haifanyi watanzania kuondokana na Umasikini, Bali mikopo Hiyo isiyokuwa na Tija inaongeza Umasikini kwa Watanzania.

Kwenye Uchumi wa Nchi Yetu, Siasa haitakiwi,
Kuna kitu mama hasemi ila miradi mingi mikubwa ili anzishwa kwa mihemuko, ni kama zaidi ya tr 20 ivi una zitoa wapi?
 
Back
Top Bottom