The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Bila uchaguzi hata wamfungulie milango na paa haingii. Ataenda chama kinachoshiriki uchaguzi tuu.Wamfungulie jamani, maneno yake yamejaa uchungu
Kwani huyu na wenzake si walishafutiwa uanachama."Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari na wakafikiria wamefika kama vile hakuna watu waliojenga kwahiyo mimi zile zote mbili ni familia zangu"
"Tumetoka nao mbali lakini 'so far' mimi ni mwana CHADEMA bado kwahiyo kama kutakuwa bado na nafasi ya kufanya kazi mimi ni CHADEMA na kama CHADEMA itanifungia milango hainitaki basi nitaangalia mbadala mwingine"
"Lakini mimi nitakuwa mtu wa mwisho kutamani kuhama CHADEMA kwa sababu nimetumia nusu ya maisha yangu kuijenga CHADEMA lakini sasa milango ikifungwa na kuwekwa makameo siwezi kulazimisha"-Halima Mdee
Chanzo Nipashe
She needs to switch allegiance from freeman to chadema.Watamfungulia tu, cdm ni chama cha watu makini. hapo tayari kumpoteza Halima!! Binafsi huwa nampenda sana Halima!! najua aliingizwa bungeni kwa mkumbo wa kina Salum na Kigaila, wamusamahe bhana!!
Ameijenga Chadema au item jenga?"Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari na wakafikiria wamefika kama vile hakuna watu waliojenga kwahiyo mimi zile zote mbili ni familia zangu"