Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 1,180
- 2,147
Mdee Mimi nampenda saaana
Kwasasa watamrudisha,saa hizi hawachagui tenaKwani huyu na wenzake si walishafutiwa uanachama.
Kuna dogo anamega kimya kimya, ila sasa kanogewa anataka kuchonga mzinga kabisa avute mjengoni.Jiandae kuolewa sasa
Wewe taahira umeelewa lakini kilichoandikwa na kuzunguzwa hapo. Au unapyanga tu Kama samia mwenye PhD ya kuokota????CHADEMA inamkataa Mdee na kumkubali Yericko... hawa watu wamelogwa
atuambie kwanza vizuri walifikaje bungeni 2020, na je yuko tayari kwa no reforms no election"Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari na wakafikiria wamefika kama vile hakuna watu waliojenga kwahiyo mimi zile zote mbili ni familia zangu"
"Tumetoka nao mbali lakini 'so far' mimi ni mwana CHADEMA bado kwahiyo kama kutakuwa bado na nafasi ya kufanya kazi mimi ni CHADEMA na kama CHADEMA itanifungia milango hainitaki basi nitaangalia mbadala mwingine"
"Lakini mimi nitakuwa mtu wa mwisho kutamani kuhama CHADEMA kwa sababu nimetumia nusu ya maisha yangu kuijenga CHADEMA lakini sasa milango ikifungwa na kuwekwa makameo siwezi kulazimisha"-Halima Mdee
Chanzo Nipashe
"Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari na wakafikiria wamefika kama vile hakuna watu waliojenga kwahiyo mimi zile zote mbili ni familia zangu"
"Tumetoka nao mbali lakini 'so far' mimi ni mwana CHADEMA bado kwahiyo kama kutakuwa bado na nafasi ya kufanya kazi mimi ni CHADEMA na kama CHADEMA itanifungia milango hainitaki basi nitaangalia mbadala mwingine"
"Lakini mimi nitakuwa mtu wa mwisho kutamani kuhama CHADEMA kwa sababu nimetumia nusu ya maisha yangu kuijenga CHADEMA lakini sasa milango ikifungwa na kuwekwa makameo siwezi kulazimisha"-Halima Mdee
Chanzo Nipashe
Hakuna kumfungulia, mbadala alishapata huyo!Wamfungulie jamani, maneno yake yamejaa uchungu
Asifunguliwe kabisa!huyu kamanda afunguliwe milango chap! kukosa kupo, ndio maana kutubu kupo
CDM makini isimfungulie. Aende CHAUMA!Watamfungulia tu, cdm ni chama cha watu makini. hapo tayari kumpoteza Halima!! Binafsi huwa nampenda sana Halima!! najua aliingizwa bungeni kwa mkumbo wa kina Salum na Kigaila, wamusamahe bhana!!
Tapeli kama matapeli wengine!Anajua Sana kujenga,hoja
Mwenyekiti TAL alisema wakikiri makosa na Kuomba msamaha watasamehewa na kuendelea kuwa wanachama.Nimekuwa nikitamani wale Covid 19 wasamehewe warudi kundini.
CDM ifike mahari itambue zile zilikuwa Ajali za kisiasa zilizosababishwa na JPM.
Ameijenga Chadema au item jenga?
Kapewa Ubunge viti maalum 2005 sababu ya ukaskazini na kutoa utelezi kwa mwamba.
Akaanza kufaidi matunda ya Chadema hadi leo. Sasa nani kamfaidisha mwenzie?
Anzishia uzi hiiCCM kumejaa Wasanii wote wanagombea ubunge 🐼
Lema anapitaga njia za panya 😁Anzishia uzi hii View attachment 3357991
Wanafiki tu hao, wameona njaa kali inawakaribia.Mwenyekiti TAL alisema wakikiri makosa na Kuomba msamaha watasamehewa na kuendelea kuwa wanachama.
wana CDM ni wamoja, hakuna makundi ya walioijenga kwa damu na jasho na waliokuta matunda yapo tayari."Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari na wakafikiria wamefika kama vile hakuna watu waliojenga kwahiyo mimi zile zote mbili ni familia zangu"