PreGE2025 Halima Mdee: Sitamani kuiacha CHADEMA. Kama itanifungia milango, basi nitaangalia mbadala mwingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wabongo wepesi kusahau si huyu kuzi Bungeni kaonyesha sign za chaumma leo anataka kurudi chadema nafikiri baada ya kuona upepo na mapokeo ya cha umma kua madogo na mwamba wa kutuvusha yupo kimya
Mwamba aliwazamisha matopeni
 
Anasema haya kwasababu ana uhakika na 250+ za kiinua mgongo cha ubunge!. Mbona hakuayasema haya 2022?
 
"Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari na wakafikiria wamefika kama vile hakuna watu waliojenga kwahiyo mimi zile zote mbili ni familia zangu"

"Tumetoka nao mbali lakini 'so far' mimi ni mwana CHADEMA bado kwahiyo kama kutakuwa bado na nafasi ya kufanya kazi mimi ni CHADEMA na kama CHADEMA itanifungia milango hainitaki basi nitaangalia mbadala mwingine"

"Lakini mimi nitakuwa mtu wa mwisho kutamani kuhama CHADEMA kwa sababu nimetumia nusu ya maisha yangu kuijenga CHADEMA lakini sasa milango ikifungwa na kuwekwa makameo siwezi kulazimisha"-Halima Mdee

Chanzo Nipashe
huyu mdomo uko chadema akili na mawazo yake yako chauma. ifikapo mwezi wa 7 atatimkia rasmi huko na baadhi ya covid19 wenzake. kuna kama akina jesca kishoa wale ni mboogamboga mapema sana.
 
Ni bora hata angeenda ACT Wazalendo kuliko Chaumwa,
 
"Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari na wakafikiria wamefika kama vile hakuna watu waliojenga kwahiyo mimi zile zote mbili ni familia zangu"

"Tumetoka nao mbali lakini 'so far' mimi ni mwana CHADEMA bado kwahiyo kama kutakuwa bado na nafasi ya kufanya kazi mimi ni CHADEMA na kama CHADEMA itanifungia milango hainitaki basi nitaangalia mbadala mwingine"

"Lakini mimi nitakuwa mtu wa mwisho kutamani kuhama CHADEMA kwa sababu nimetumia nusu ya maisha yangu kuijenga CHADEMA lakini sasa milango ikifungwa na kuwekwa makameo siwezi kulazimisha"-Halima Mdee

Chanzo Nipashe
Huyu kenge nae, ni Bora atafute bwana tu,
Kama ni muaminifu aseme alipata vipi ubunge wake!
 
"Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari na wakafikiria wamefika kama vile hakuna watu waliojenga kwahiyo mimi zile zote mbili ni familia zangu"

"Tumetoka nao mbali lakini 'so far' mimi ni mwana CHADEMA bado kwahiyo kama kutakuwa bado na nafasi ya kufanya kazi mimi ni CHADEMA na kama CHADEMA itanifungia milango hainitaki basi nitaangalia mbadala mwingine"

"Lakini mimi nitakuwa mtu wa mwisho kutamani kuhama CHADEMA kwa sababu nimetumia nusu ya maisha yangu kuijenga CHADEMA lakini sasa milango ikifungwa na kuwekwa makameo siwezi kulazimisha"-Halima Mdee

Chanzo Nipashe
She needs to be contrite.
She was wrong, and is still wrong about what happened.

Anayo sema hapo juu ni kama yuko 'entitled' kubaki CHADEMA; she is not!

Hao waliokuja wapy ndani ya CHADEMA, na hao waliobaki toka mwanzo ndio wanaoifanya CHADEMA iwe ilivyo sasa; siyo wale walio rubuniwa kuihujumu, yeye akiwa ni mmoja hao, tena kiongozi wa kundi.

Kwa hii 'attitude' anayoionyesha, kama ni kweli; hafai kubaki ndani ya chama hicho.

Akikubaliwa kurudi, she needs to pay for her waywardness. AAnze upya kabisa, ngazi ya chini kama mwanachama mwingine yeyote.
 
"Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari na wakafikiria wamefika kama vile hakuna watu waliojenga kwahiyo mimi zile zote mbili ni familia zangu"

"Tumetoka nao mbali lakini 'so far' mimi ni mwana CHADEMA bado kwahiyo kama kutakuwa bado na nafasi ya kufanya kazi mimi ni CHADEMA na kama CHADEMA itanifungia milango hainitaki basi nitaangalia mbadala mwingine"

"Lakini mimi nitakuwa mtu wa mwisho kutamani kuhama CHADEMA kwa sababu nimetumia nusu ya maisha yangu kuijenga CHADEMA lakini sasa milango ikifungwa na kuwekwa makameo siwezi kulazimisha"-Halima Mdee

Chanzo Nipashe

Kuna Wakati Chadema inatakiwa ifanye siasa pamoja na harakati zake .
Kinachotakiwa ni kuangalia mambo kwa umakini mkubwa sana .
Chauma ipo kwa ajili ya kupunguza nguvu ya Chadema sio CCM.

Sasa watashinda je uchaguzi bila kupunguza nguvu ya CCM . ?

Chauma Wapumbavu wakubwa ?
Yaani upate ushindi wa ubunge wakati CCM ina wabunge zaidi 90% wa kuchaguliwa kura utazipata wapi kwa kulenga majimbo yenye nguvu ya Chadema ambayo pia haikushinda labda waende Mpanda wakaounguze kura za chadema. Na jimbo lirudi CCM maana hata yule wa chadema akigombea nje ya chadema hashindi ,hapati hata kura elfu 5.

Waafrika ni wabinafsi sana .
Kuna wazungu walikuja Afrika pakiwa gizani kabisa bila miundo mbinu yoyote . Waliacha Ulaya ikiwa na kila kitu lakini walikuja Afrika kwa ajili ya kujenga kesho ya Ulaya hawakuangalia maisha yao tu .

Sasa kwa upande wa Chadema ni vizuri wakaweka Pembeni Mihemko wakawapokea wale Wanaokipenda chama na kuwa Tayari kuingia kwenye mapambano ya kupunguza kura za CCM .
Ni wazi kabisa kuwa waliowapeleka bungeni akina Halima Madee ni wale watendaji wakuu waliohamia Chauma. Sasa hapo cha msingi ni kuwachuja . Wale wenye waume zao kule Chauma basi wawaache waende Chauma na wale watakaokuwa wanachadema kindakindaki warudishwe .
Halima Mdee akiomba kubaki chadema akubaliwe akabidhiwe kadi na ailipie . Ikiwezekana atoe mil. kumi za Tone tone kama mchango wake wa kuonyesha nia ya kuendelea kukijenga chama .

Heche anafaa kuwa Kiongozi Chama na serikali lakini anahitaji watu watulivu kiasi fulani ili kujenga taasisi yenye utulivu na yenye bussara.

Nilikua nampinga sana Bony yai wakati wakati wa uchaguzi wa ndani ya Chadema. Lakini baada ya kuvunja makundi na kuanza kujenga chama nimeonav' buusara kubwa na uzalendo mkubwa wa BONY YAI KWA CHADEMA.
 
Huyo Mdee anacheza na akili zenu tu anajua wazi ndani ya chama hatakiwi na hana chake anatafuta sympathy.
 
Mimi mwanachama wa chadema, lakini maamuzi yao na misimamo yao iko vizuri sana! Watu wanauwana kisa madaraka?
 
Back
Top Bottom