Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi Halima Mdee ni CHADEMA na nitaendelea kuwa chadema
Your browser is not able to display this video.
Matokeo ya jumla
Idadi ya wajumbe 423
Waliokubalina na maamuzi ya Kamati ya kuwafukuza Uanachama ni 413 sawa 97.6%
Wasiokubaliana na uamuzi wa Kamati kuu ni 5 sawa na 1.2%
HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama ====== UPDATE: Halima...
www.jamiiforums.com
====
UPDATES ;
=====
Habari zaidi kutoka Gazetini;
Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ni uhuni.
Mdee ambaye amepata kuwa mbunge wa Jimbo la Kawe na Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha, ni miongoni mwa makada walifukuzwa baada ya Bazara Kuu kubariki uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema kuwafukuza ndani ya chama kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge kinyume cha matakwa ya chama hicho.
Matokeo ya jumla
Idadi ya wajumbe 423
Waliokubalina na maamuzi ya Kamati ya kuwafukuza Uanachama ni 413 sawa 97.6%
Wasiokubaliana na uamuzi wa Kamati kuu ni 5 sawa na 1.2%
Wakubali tu kuwa ukweli siku zote uta prevail tu hata ukifunikwa vipi.
Sheria ndio huamua haki na huhifadhi haki ni kwamba walichelewesha tu maamuzi ila kimsingi regardless Mbowe aliamua kuwakomoa but ndo katiba inavyotaka kuwa wasiendelee kuwa wabunge as long as sio wanachama. Huu ukweli its time waukubali.
Wakubali tu kuwa ukweli siku zote uta prevail tu hata ukifunikwa vipi. Sheria ndio huamua haki na huhifadhi haki ni kwamba walichelewesha tu maamuzi ila kimsingi regardless Mbowe aliamua kuwakomoa but ndo katiba inavyotaka kuwa wasiendelee kuwa wabunge as long as sio wanachama. Huu ukweli its time waukubali.
Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni.
Matokeo ya jumla
Idadi ya wajumbe 423
Waliokubalina na maamuzi ya Kamati ya kuwafukuza Uanachama ni 413 sawa 97.6%
Wasiokubaliana na uamuzi wa Kamati kuu ni 5 sawa na 1.2%
Mahakama kazi yake ni kutafsiri yaliyopo kwenye katiba ya chama CHADEMA syo katiba ya CCM na ile ya Mwendazake.
Sasa katiba ya CHADEMA imetumika kuwafukuza mahakama ina mamlaka gani kuingilia yaliyopo ktk katiba ya CHADEMA.
Mahakama iridhie forgery?
Pyuuuuuuuf
Wewe halima ulijisajau ukajiweka juu ya kila kitu ktk chama sasa mmetimuliwa unaona Baraza kuu ni wahuni.
Nani muhuni aliyetekekeza matakwa ya katiba au wewe uliyetekeleza matakwa ya ccm chini ya mchizi ndugai na dikteta mwendazake?
Waliwaponza, nilifikiri una akili kumbe mjinga, nafuta na namba yako ya simu kwenye simu yangu shenzi kabisa