Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

Wakienda mahakamani hawatalipwa tena na bunge, mpaka labda washinde kesi ndio watalipwa malimbikizo yao ya mishahara! ni sawa na kufukuzwa kazi, ukipinga mahakamani hulipwi mshahara mpaka ushinde kesi....
Lakini wanaendelea kuwa wabunge hadi kesi iamuliwe ina maana Chadema hawatakuwa na uwezo wa kuteua wabunge wengine
 
Yeye Mdee Hana moral authority!
Anyamaze!
Atafute mume aolewe, atulie!
Uhuni alishaufanya sasa astaarabike!

Nusra anasemaje!? Ataongea ukweli kuhusu safari ya usiku Kwa usiku, toka gerezani Hadi bungeni! Gereji kuapishwa?
Nasra kaingia chaka# Nyota yake yafifia ghafla
 
Kina Halima watafanya delaying techniques, wataenda Mahakamani.

So bado wana nafasi za kula hela ya nchi kidogo.

Unless otherwise iwe ni makubaliano kati ya Mbowe na Samia kua watimue na bungeni tuwatimue mlete wengine.

Spika ndio anaamua siyo mahakama.
 
Mtanzamo wangu.
Chadema kupitia Mwenyekiti wake walishatangaza kuwa sasa ni lazima wafanye siasa za kuaminiàna.
Nadhani ni busara sasa Chadema kupeleka majina mengine ili hili swala sasa liishe. Cha msingi ni kuchagua watu sahihi wenye uwezo. Ukizingatia kwa sasa Bunge ni live na hali ya kiuchumi ni mbaya hivyo hii ni nafasi ingine Chadema imeipata ya kuonyesha uwezo wao wa kuwatetea wananchi, uwezo wa kuonyesha mawazo mbadala ya namna gani ya nchi kujikwamua, nafasi ya kuianika serikali kama kuna maovu wametendeka.

Hii nafasi Chadema waitumie vyema na wachunge mtego, wachague watu sahihi wenye uwezo madhubuti.
 

Wanatia huruma walidhani ni wakubwa kuliko chama.
 
Kina Halima watafanya delaying techniques, wataenda Mahakamani.

So bado wana nafasi za kula hela ya nchi kidogo.

Unless otherwise iwe ni makubaliano kati ya Mbowe na Samia kua watimue na bungeni tuwatimue mlete wengine.

Wenyewe wale pesa za wajinga, lakini itambulike rasmi chadema haina wabunge wa viti maalum.
 
Mdee kawaponza wengi, sijui jiwe alimhonga nini?
 

Hivi unajua wale sio Wanachama, mahakama itwasikilizaje watu ambao siyo wanachama wa chadema?.
 

Mmehamia mahakamani. Mmesahau hao sio wanacha wa Chadema.
 
Kwani Chadema mpaka leo hawana uhakika na uwezo wao? siamini.

Kwangu nataka wasimame na ule msimamo wao wa mwanzo kama kielelezo cha kutoutambua ule uchaguzi mkuu uliopita na yale matokeo yake mabovu.

Kitendo cha kubadilisha msimamo kwao kitawajengea taswira mbaya kwa CCM, hawa watajua hata next time wakiharibu Chadema watasusa then baadae watalainika.

Matokeo yake wataendelea kuchezewa kwenye chaguzi zijazo, hili limeshaonekana over and over again, hizi scenario za huruma mnazotengeneza sasa zitakuja kuwa cost mbele ya safari.

Kama wameweza kusimama na uamuzi wa KK kuhusu wasaliti 19 kwanini wabadilishe kuhusu matokeo ya uchaguzi uliopita? kwangu hii kitu haina maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…