mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
uhuni gani???embu tufafanulie tusio na vyama!Confirmed.
Chadema imejaa wahuni.
Wahuni party hoyee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uhuni gani???embu tufafanulie tusio na vyama!Confirmed.
Chadema imejaa wahuni.
Wahuni party hoyee.
Mbowe juzi, kabla ya mkutano wao wa Baraza kuu, alikua (aliitwa) Ikulu akiongea na Rais. Sidhani kama hawakuongelea hili. Tusubiri........Kina Halima watafanya delaying techniques, wataenda Mahakamani.
So bado wana nafasi za kula hela ya nchi kidogo.
Unless otherwise iwe ni makubaliano kati ya Mbowe na Samia kuwa watimue na bungeni tuwatimue mlete wengine.
Umeandika vyema sanaMtanzamo wangu.
Chadema kupitia Mwenyekiti wake walishatangaza kuwa sasa ni lazima wafanye siasa za kuaminiàna.
Nadhani ni busara sasa Chadema kupeleka majina mengine ili hili swala sasa liishe. Cha msingi ni kuchagua watu sahihi wenye uwezo. Ukizingatia kwa sasa Bunge ni live na hali ya kiuchumi ni mbaya hivyo hii ni nafasi ingine Chadema imeipata ya kuonyesha uwezo wao wa kuwatetea wananchi, uwezo wa kuonyesha mawazo mbadala ya namna gani ya nchi kujikwamua, nafasi ya kuianika serikali kama kuna maovu wametendeka.
Hii nafasi Chadema waitumie vyema na wachunge mtego, wachague watu sahihi wenye uwezo madhubuti.
Hawa ni wale ambao Zitto aliwaambia waende Chato wakachimbe pembeni wajizike. Huyu hapa hawatetei hawa Covid 19, bali anatetea Legacy ya Jiwe. Kwa sababu Jiwe ndiye aliyetengeneza huu uchafu, kwahiyo hapo anajaribu kuuona siyo uchafu ili kulinda legacy ya mwendazake.Picha ipi tena? kama waligoma kwenda wakajifungia vyumbani kwao ulitaka niende kuwapigia huko? wewe uliwaona kwenye KK wakijitetea? naona bado umelewa usingizi endelea kulala.
Mkuu mbona kama unaumia sana kina halima kufukuzwa? Wewe baki na ushauri wako ila wawakilishi bungeni lazima wapelekwe!Viti maalum wanawakilisha wananchi gani?
Kama mnataka wananchi wapate wawakilishi CCM na serikali yake warudie uchaguzi mkuu, hii kwangu ndio better option ili kufuta ule ujinga wa 2020, lakini sio kuwaliwaza CCM kwa ujinga wao waliofanya makusudi.
Kuna kesi tena?Kazi ya mahakama kuendesha kesi
Kifo tayari kimeshawatenganishaHalima hizi ni effects za kifo cha maliemu, angekua hai mngekua wabunge wa Chadema mpaka kifo kiwatenganishe.
Kwa nini nchi (serikali) ilifanya faulo kwenye uchaguzi wa 2020 hadi kuanza kutoa watu magerezani usiku na kuwasafirisha usiku kwa usiku zaidi ya km 100, wakaapishwe garage ili wawe "wabunge"??Shida ni kwamba kuna vitu kama nchi itapoteza. Je nchi ipoteze karibu 2 T kwa CHADEMA kuendelea na msimamo?
Safi sana. Hiyo ni ngumi ya pua.Waendelee kuwa wabunge hakuna mwenye shida na hilo bunge kibogoyo, cha muhimu maamuzi yameshachukiliwa. Suala la wao kuwa wabunge tayari walishapewa na Magufuli.
Wote tunawakaribisha UMOJA PARTY. Msiwe na wasiwasi ubunge mtapata tuSamia anaingiaje hapa.
Mkuu, naona umewataiti mbaya. Kwa nini hawaamini kwamba uchaguzi wa 2020 chini ya mwendazake, uliharibu nchi?Viti maalum wanawakilisha wananchi gani?
Kama mnataka wananchi wapate wawakilishi CCM na serikali yake warudie uchaguzi mkuu, hii kwangu ndio better option ili kufuta ule ujinga wa 2020, lakini sio kuwaliwaza CCM kwa ujinga wao waliofanya makusudi.
Hiyo maliemu inatamkwa sana uheheniHalima hizi ni effects za kifo cha maliemu, angekua hai mngekua wabunge wa Chadema mpaka kifo kiwatenganishe.
We nae taahira kweli kweliWeka picha inayowaonyesha wakiwa wamegoma
Hoja hizi zinajadilika sana, kwa bahati mbaya muda wa kutuliza akili juu yake ni shida sana.Hapa patamu sana.
Ok, tukisema tumewasamehe CCM kwa zile rafu walizofanya makusudi kwenye uchaguzi mkuu uliopita, rafu ambazo zimesababisha leo hii wakina Mdee wamefukuzwa chamani tukiwaita wasaliti, kwanini basi na wakina Mdee wasisamehewe?
Kwangu, uamuzi wowote utakaosema yaliyopita si ndwele tugange yajayo, basi lazima uende moja kwa moja na kusamehe na kutibu yale majeraha yote yaliyosababishwa na kosa la msingi [rafu za uchaguzi 2020].
Je, utakuwa tayari kuwasamehe kina Mdee ili tuanze wote kwa pamoja? if No, kwanini uwagomee kina Mdee lakini uwasamehe CCM kwa zile rafu zao za makusudi?
Yes, ni CCM coz wakati ule wakitufanyia uhuni, Samia alikuwa mgombea mwenza, kama alikuwa hataki yale maovu angejiondoa kugombea, lakini nae akasikika akisema; "hata kama wasipotupigia kura bado tutangazwa washindi"
Hayo maswali unayoyaogopa kwangu ni suala dogo, nimeona next time wamesema Chadema watakutana na CCM na serikali yake kwa pamoja, hapa lazima CCM wakubali makosa yao na wafanye jambo kuyafuta, sijui kwanini unawatetea wasirudie uchaguzi? why unawahurumia?
Ujinga walioufanya wakati ule una gharama kubwa, na gharama hizo ndio wakati wao kuzilipa, na pesa za uchaguzi sio zao, ni za walipa kodi wa nchi hii.
Mpendwa dadaangu Sky Eclat umeandika kikinga kabisaa! Maliemu?Halima hizi ni effects za kifo cha maliemu, angekua hai mngekua wabunge wa Chadema mpaka kifo kiwatenganishe.
Zitto ana vingi sana vya kujifunza kwa MboweKina Halima watafanya delaying techniques, wataenda Mahakamani.
So bado wana nafasi za kula hela ya nchi kidogo.
Unless otherwise iwe ni makubaliano kati ya Mbowe na Samia kuwa watimue na bungeni tuwatimue mlete wengine.
ThibitishaUlaji ndio lengo la Mbowe[emoji28] hawezi kukuweka kama hapati chakula kidogo hapo