Manndasori
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 286
- 259
Nasikia upande wa pili mmemind mbaya kabisaConfirmed.
Chadema imejaa wahuni.
Wahuni party hoyee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia upande wa pili mmemind mbaya kabisaConfirmed.
Chadema imejaa wahuni.
Wahuni party hoyee.
Tuna hoja kabla ya hilo.Mtanzamo wangu.
Chadema kupitia Mwenyekiti wake walishatangaza kuwa sasa ni lazima wafanye siasa za kuaminiàna.
Nadhani ni busara sasa Chadema kupeleka majina mengine ili hili swala sasa liishe. Cha msingi ni kuchagua watu sahihi wenye uwezo. Ukizingatia kwa sasa Bunge ni live na hali ya kiuchumi ni mbaya hivyo hii ni nafasi ingine Chadema imeipata ya kuonyesha uwezo wao wa kuwatetea wananchi, uwezo wa kuonyesha mawazo mbadala ya namna gani ya nchi kujikwamua, nafasi ya kuianika serikali kama kuna maovu wametendeka.
Hii nafasi Chadema waitumie vyema na wachunge mtego, wachague watu sahihi wenye uwezo madhubuti.
Aliesema usimtegemee mtu mtegemee Mungu hakukosea.Halima hizi ni effects za kifo cha maliemu, angekua hai mngekua wabunge wa Chadema mpaka kifo kiwatenganishe.
Aliteleza tu kibinadamu, alistahili msamahaHakuna uhuni zaidi ya kuwa msaliti wa chama ulichokivujia jasho na damu.
Kusaliti watu waliokuamini na kukuheshimu; hata ambao hawakuwa wanachama wa chama chako.
...mlitaka kujimilikisha kwaya mliyoikuta ?..😂😂😂Ahahaa..mkuu umenigusa ..mwaka jana nikiwa mwenyekiti wa kwaya tukataka kuleta mapinduzi na katibu wangu ndani ya kikundi..mchungaji akatufukuza 😂😂😂😂😂😂
Memba, Makamba na Kinana waliitwa kuhojiwa na baadae maamuzi yalitolewa.Kwa nini mlimfukuza Membe bila kumpa nafasi ya kujitetea??
Mbowe is on good terms with mama. Kazi iendelee .Kina Halima watafanya delaying techniques, wataenda Mahakamani.
So bado wana nafasi za kula hela ya nchi kidogo.
Unless otherwise iwe ni makubaliano kati ya Mbowe na Samia kuwa watimue na bungeni tuwatimue mlete wengine.
Memba, Makamba na Kinana waliitwa kuhojiwa na baadae maamuzi yalitolewa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Namhurumia Bananga ....kitaa itabidi abebe zege
Na jamaa alikuwa namtegemea mke wake kuzurura na gari mitaa ya fukwe za Koko beach duh lbda jmaa ake msando atampa Kaz ya kuwa maneja wa bar zakeNamhurumia Bananga ....kitaa itabidi abebe zege
Kisa cha kulazimisha kuwavua uanachama haraka haraka ilikuwa ni nini?Alitaka kuwakomoa vipi? Wameachiwa mwaka mzima wa kuwa wabunge au kusahihisha makosa yao. Wao hawakutaka kuachia ubunge. Mbowe kawakomoa kivipi? Unadhani wanachama wangelielewa Baraza lao kama lingeamua kuwasamehe na kuwaacha waendelee na ubunge wao? Kupanga ni kuchagua na wamevuna walichopanda.
Sasa wako huru kwenda Mahakamani, kujiunga na chama kingine, kustaafu au kujirekebisha. Wakiweka kiburi pembeni wanaweza kuomba msamaha na kuomba uanachama upya.
Ila kwa vile Tulia hawapendi basi nafasi zao zitatangazwa kuwa wazi fasta.
Amandla...
Mla ruzuku huyo ana msimamo gani kila siku kunywa juisi Ikulu na CCM ama kweli watizedi mmepigwa na kitu kizito. Sahizi aikaeli analamaba asali hutamsikia hata mara mona akifungua bakuli lake kukemea inflation na ufujaji wa kodi za wananchiKwanza walishaga toa msimamo kwamba hawapeleki wabunge wa viti maalum kwa kuwa uchaguzi ulikuwa batili Sasa swala la kusema wataselect new mps hilo ni ngonjera tu
mwamba alikuwa analishwa na mkewe ni muda wa kupambana kiume sasa,🤣🤣🤣Namhurumia Bananga ....kitaa itabidi abebe zege
Angeacha kiburi basi?Aliteleza tu kibinadamu, alistahili msamaha
Nilimpigia kura mwaka 2015 jimboni kawe.Hakika kila mtu ana price tag
Halima nilikua namkubali sana aisee