Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Ina maana Bananga alishahama Arusha?Na jamaa alikuwa namtegemea mke wake kuzurura na gari mitaa ya fukwe za Koko beach duh lbda jmaa ake msando atampa Kaz ya kuwa maneja wa bar zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana Bananga alishahama Arusha?Na jamaa alikuwa namtegemea mke wake kuzurura na gari mitaa ya fukwe za Koko beach duh lbda jmaa ake msando atampa Kaz ya kuwa maneja wa bar zake
Tatzo mchungaji na mama mchungaji walikua wanaingilia sana maamuzi yetu 😂...mlitaka kujimilikisha kwaya mliyoikuta ?..😂😂😂
Ulitaka wawaachie tu waendelee na ubunge wao bila hata kuchukua hatua yeyote?Kisa cha kulazimisha kuwavua uanachama haraka haraka ilikuwa ni nini?
Samia hawezi kuendekeza upuuzi wa akina Halima Mdee yuko bussy kuirudisha nchi kwenye msitari.Huo ulikuwa ni mojawapo ya uchafu.Points sana umeongea, yaan wewe no kichwaa 'na km Samia akiamua kuweka kifua hata hiyo kesi itapigwa danadana mpya 2025, yaan mwenye maamuzi hapo Samia 'na wala sio Mbowe 'na kamati kuu
Watapelekaje majina mengine wakati Chdema uchaguzi hawautambui? Wapeleke majina kwa uchaguzi upi?Sasa tunasubiria majina ya hao 19 wa mbadala hapo Chadema wasije wakaleta kutafutiana ulaji
Shujaa wa Africa!RIP Shujaa!!!
Mzee Mdee ameanza lini kuwa KE?Namba ya simu yake ulikuwa nayo ya nini ukizingatia wewe ni Me na yeye ni Ke??
kwahiyo marehemu na na sabufa used waliwapeleka hao covid-19 bungeni kwa sababu ya ulaji siyoUlaji ndio lengo la Mbowe😅 hawezi kukuweka kama hapati chakula kidogo hapo
waliwapeleka ili kumkomesha dhalimu aikaeli anayetaka amegewe fungu la kiinua mgongokwahiyo marehemu na na sabufa used waliwapeleka hao covid-19 bungeni kwa sababu ya ulaji siyo
Nitakujibu kwa kila paragraph uliyoandika.Hoja hizi zinajadilika sana, kwa bahati mbaya muda wa kutuliza akili juu yake ni shida sana.
Akina Halima ni swala ndani ya chama moja kwa moja. "Uchafuzi" uliofanyika 2020 ni zaidi ya CHADEMA, ni swala la nchi nzima. Mhusika mkuu wa 'uchafuzi' kwa kudra za Mwenyezi hayupo tena. Hawa wasaidizi wake, wengine tayari wanamkana waziwazi.
Kuwaondoa akina Halima kwa ushiriki wao katika kukihujumu chama chao ni swala ambalo limo ndani ya uwezo wa chama chenyewe, bila ya kuhusisha watu wengine nje ya chama. Ni haki ya chama kufanya maamuzi wanayoona yanafaa, kama ilivyo haki ya chama hicho kuamua kutoitambua serikali iliyotokana na 'uchafuzi' au kuamua kushirikiana na serkali hiyo kutafuta suluhu ya maswala ambayo ni muhimu kwa taifa ili ule uchafuzi usijirudie tena.
Mbowe, kama kiongozi wa chama, anao wajibu wa kueleza na kushawishi viongozi wenzake na chama kwa ujumla kufanya maamuzi wanayoona yanafaa kwa kwenda mbele, na kutoshikilia yote yaliyopita.
Huu utakuwa ni uamzi utakaofanyika ndani ya chama hicho.
Mzee Mdee ameanza lini kuwa KE?
Kwa hiyo chadema imekuwa FIFA!?Katiba ua CHADEMA inazuia mtu kwenda mahakamani kwa masuala yanayohusiana na chama, labda kama masuala hayo ni ya jinai.
Hapo kwa suala la uwanachama wao, ndipo lilipoishia.
Maliemu ndio nini!?Halima hizi ni effects za kifo cha maliemu, angekua hai mngekua wabunge wa Chadema mpaka kifo kiwatenganishe.
Hata kale kamchezo ka Lucy MukyaUlaji ndio lengo la Mbowe[emoji28] hawezi kukuweka kama hapati chakula kidogo hapo
hayo ni maneno tu ya mfa maji nakumbuka hata zitto kabwe alisema mi nitakuwa wa mwisho kutoka CHADEMA lakini cha ajabu yeye ndo akawa wa kwanza kutoka.Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi Halima Mdee ni CHADEMA na nitaendelea kuwa chadema
Matokeo ya jumla
Idadi ya wajumbe 423
Waliokubalina na maamuzi ya Kamati ya kuwafukuza Uanachama ni 413 sawa 97.6%
Wasiokubaliana na uamuzi wa Kamati kuu ni 5 sawa na 1.2%
Wasiofungamana na upande wowote ni 5 sawa na 1.2%
Pia, soma;
Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi
HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama ====== UPDATE: Halima...www.jamiiforums.com
====
UPDATES ;
=====
View attachment 2221245
Habari zaidi kutoka Gazetini;
Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ni uhuni.
Mdee ambaye amepata kuwa mbunge wa Jimbo la Kawe na Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha, ni miongoni mwa makada walifukuzwa baada ya Bazara Kuu kubariki uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema kuwafukuza ndani ya chama kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge kinyume cha matakwa ya chama hicho.
Matokeo ya jumla
Idadi ya wajumbe 423
Waliokubalina na maamuzi ya Kamati ya kuwafukuza Uanachama ni 413 sawa 97.6%
Wasiokubaliana na uamuzi wa Kamati kuu ni 5 sawa na 1.2%
Wasiofungamana na upande wowote ni 5 sawa na 1.2%
Chanzo: Mwananchi
Na mademu zake hao(japo ni rumors tu) huwa vipi, mbona hawi na mwanaume? Panapofuka moshi huwa tunaamini kuwa chini kuna moto, nitaendelea kuamini kuwa ni ME until proved wrong.Toka alipozaliwa.
Na Chadema wakichemka wakaandika wao barua kwenda bungeni kuwa wamewafukuza,watafanya kosa kubwa la kiufundi. Na spika hatawafukuza kwani yeye majina ya wabunge huletewa na tume ya uchaguzi. Si vyama.Mkuu, unatakiwa kujua kua mahakama ndie muamuzi wa mwisho kwenye jambo lolote nchi hii.
Kwa hiyo wana haki ya kwenda mahakamani wakitaka. Kumbuka ishu ya Zitto.
Nachokisema, inawezekana mahakama ikakubaliana na uamuzi wa chadema 100% na hilo halina ubishi.
Ila kwa kitendo cha kwenda mahakamani, wanafanya mchezo wa kuchelewesha ama delaying techniques. Kwa hiyo hata Bunge haliwezi kuwafukuza maana bado ni wanachama hadi mahakama itoe majibu, tayari huo muda unakua umeenda na kama ni vikao vya bunge 2 ama 3 wnaakua wamekula hela zetu.
Tusubiri tuangalie.