Halima Mdee: Wapinzani tunapigana mishale sana ndio maana hatuaminiki kwa wananchi

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm.

Amesema wananchi wanshindwa kutuelewa kozi hatuna sera mbadala ukiacha suala la katiba ambalo tumeonyesha tofauti ila kwenye mambo mengi kama ajira Kwa vijana umoja wa wapinzani hapa tunakwama sana.

Kuhusu spika wa bunge amesifu kuwa spika tulia ni spika Bora sana anayefanya kazi yake Kwa weledi mkubwa.
 
IMG_6994.jpg
 
Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm...
Wale wavaa Madera wa Bawacha wao wanawaza kupewa ubunge wa zawadi na Mbowe tu!

Ukiwasikiliza wanapofoka foka kwenye mic [emoji441] utaona dhahiri ni mashankupe ya mikoani yaliyojikusanya ili kusaka tonge.

Ni Mamantilie wa kisiasa.
 
Punguza stress
 
Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm.

Amesema wananchi wanshindwa kutuelewa kozi hatuna sera mbadala ukiacha suala la katiba ambalo tumeonyesha tofauti ila kwenye mambo mengi kama ajira Kwa vijana umoja wa wapinzani hapa tunakwama sana.

Kuhusu spika wa bunge amesifu kuwa spika tulia ni spika Bora sana anayefanya kazi yake Kwa weledi mkubwa.
Yeye amalize aende CCM, hana jipya alishaisha.
 
Umeandika nn sasa? Ifike mahali muwe mnaficha ujinga wenu. Wavaa madera au mama ntilie wa mikoani siyo watu/wa Tanzania?
 
Back
Top Bottom