Halima Mdee: Wapinzani tunapigana mishale sana ndio maana hatuaminiki kwa wananchi

Halima Mdee: Wapinzani tunapigana mishale sana ndio maana hatuaminiki kwa wananchi

Una ushahidi tuje kukuhoji?
Ushahidi ni nao uje na report za CAG za miaka mitatu mfululizo na report za pesa za mikopo ya halmashauri kwa vikundi vya kina mama na vijana ! Uje na idaidi ya kura zilizopigwa 2021 hasa kutoka ofisi ya kata sijui wilaya toka pale ccm kinondoni
 
Back
Top Bottom