The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Halima Mdee Mmoja ni sawa Catherine Ruge kumi na tanoAkihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm...
Kama Mdee angekuwa hivyo asingebebwa na Spika..Halima Mdee Mmoja ni sawa Catherine Ruge kumi na tano
Wale wavaa Madera wa Bawacha wao wanawaza kupewa ubunge wa zawadi na Mbowe tu!Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm...
Mkuu Erythrocyte unasemaje kuhusu mtazamo huu?Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm...
ViceversaHalima Mdee Mmoja ni sawa Catherine Ruge kumi na tano
Punguza stressWale wavaa Madera wa Bawacha wao wanawaza kupewa ubunge wa zawadi na Mbowe tu!
Ukiwasikiliza wanapofoka foka kwenye mic [emoji441] utaona dhahiri ni mashankupe ya mikoani yaliyojikusanya ili kusaka tonge.
Ni Mamantilie wa kisiasa.
Yeye amalize aende CCM, hana jipya alishaisha.Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm.
Amesema wananchi wanshindwa kutuelewa kozi hatuna sera mbadala ukiacha suala la katiba ambalo tumeonyesha tofauti ila kwenye mambo mengi kama ajira Kwa vijana umoja wa wapinzani hapa tunakwama sana.
Kuhusu spika wa bunge amesifu kuwa spika tulia ni spika Bora sana anayefanya kazi yake Kwa weledi mkubwa.
afadhali ya ccm X 100 kuliko chademaYeye amalize aende CCM, hana jipya alishaisha.
acha hasira utauponzaUmeandika nn sasa? Ifike mahali muwe mnaficha ujinga wenu. Wavaa madera au mama ntilie wa mikoani siyo watu/wa Tanzania?
Hasira zipo wapi hapoacha hasira utauponza
Ccm ni #1Hasira zipo wapi hapo
Namba 1 kwenye rushwa , wizi wa kura, ghiriba na udanganyifu? SawaCcm ni #1