Checheto JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 836 Reaction score 694 May 16, 2023 #21 Kinoamiguu said: Namba 1 kwenye rushwa , wizi wa kura, ghiriba na udanganyifu? Sawa Click to expand... Una ushahidi tuje kukuhoji?
Kinoamiguu said: Namba 1 kwenye rushwa , wizi wa kura, ghiriba na udanganyifu? Sawa Click to expand... Una ushahidi tuje kukuhoji?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 May 16, 2023 #22 The Phylosopher said: wananchi wanshindwa kutuelewa Click to expand... Wananchi gani watakuelewa wewe na uzabzabina wa kununuliwa kwenda kuwa mpiga meza wa Dikteta?
The Phylosopher said: wananchi wanshindwa kutuelewa Click to expand... Wananchi gani watakuelewa wewe na uzabzabina wa kununuliwa kwenda kuwa mpiga meza wa Dikteta?
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 May 16, 2023 #23 ugali sukari said: Una ushahidi tuje kukuhoji? Click to expand... Ushahidi ni nao uje na report za CAG za miaka mitatu mfululizo na report za pesa za mikopo ya halmashauri kwa vikundi vya kina mama na vijana ! Uje na idaidi ya kura zilizopigwa 2021 hasa kutoka ofisi ya kata sijui wilaya toka pale ccm kinondoni
ugali sukari said: Una ushahidi tuje kukuhoji? Click to expand... Ushahidi ni nao uje na report za CAG za miaka mitatu mfululizo na report za pesa za mikopo ya halmashauri kwa vikundi vya kina mama na vijana ! Uje na idaidi ya kura zilizopigwa 2021 hasa kutoka ofisi ya kata sijui wilaya toka pale ccm kinondoni
Pac the Don JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 6,170 Reaction score 7,710 May 16, 2023 #24 The Phylosopher said: umoja wa wapinzani hapa tunakwama sana Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣