Najaribu kufikiri kwa kina kuhusu maamuzi haya mawili.
Moja ni uamuzi wa chadema kupokea ruzuku inayotokana na wabunge haramu (covid-19). Tafsiri ya uamuzi huu ni kwamba Sasa chadema inawakubali na kuwatambua rasmi covid-19.
Je, Halima Mdee na wenzake wakiomba kuhudhuria kongamano wataruhusiwa? Au kama wataambatana na mhe rais Samia watazuiwa?
Na la pili ni uamuzi wa kumkaribisha rais Samia kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la BAWACHA.
Natambua kwamba siasa siyo ugomvi lkn haijakaa njema sana kumkaribisha mtu wa mrengo tofauti kuja kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano ambalo tunaamini litakuwa likifanya tafakuri za kina namna ya kukiondoa chama cha huyo mgeni rasmi madarakani. Sasa si mgeni rasmi ataondoka na siri za mikakati ya chadema.??