Halima Nyakanga afungiwa na BASATA kwa miaka 3 na faini ya Tsh milioni 3

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili.

Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa kipande cha video hiyo kwenye mitandao ya kijamii.

Nyakanga.jpg

1774186377724.png

​
 
Wangempa tu onyo ingetosha kuliko hii kumtoa Kafara million 3 aitoe wapi mtu nachoka si bora azire hata usanii wenyewe..hio fain ya nini sasa bora wangemfungia tu
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili.

Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa kipande cha video hiyo kwenye mitandao ya kijamii.

Akate rufaa, utamaduni na nyimbo za kibao tangu enzi na enzi ndiyo ulivyo. Hajafanya lolote nje ya tamaduni za kibao kata, 🔞.
Ni kama pombe, sigara na ngono, not meant for the under 18.
 
Wakuu kawimbo kana vibe aisee,nimekachungulia sasa hivi kwa umri wangu huu kamenipa faraja,ila nimeangalia simu niliweka pajani ili mtu akitokea tu niifunike... Ila kakideo katamu.

Pembeee,🪉🎻🎺
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili.

Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa kipande cha video hiyo kwenye mitandao ya kijamii.

Kwenye picha hapo yeye ni yupi?
 
Hawa mbona sheria zao zinachagua watu wanyonge wanyonge tu ambao hata kula yao ya shida ila watu kama wakina Gigy money,Mwijaku,Konde Boy,Simba dangote hawaguswi au hawa mambo yote wayafanyayo yanaipendeza jamii?

Sio kwamba natetea kwamba kibao kata inafanya sahihi ila najiuliza tu kwa nini sheria zao zinakuwa butu kwa baashi ya watu na zinakuwa kali kwa watu wengine.
 
Kwasababu nchi ina upendeleo kwenye kila sekta, kuna watu ukiwaletea kwere kibarua kinaota nyasi
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili.

Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa kipande cha video hiyo kwenye mitandao ya kijamii.

Ni yupi kati ya hao wawili? ni huyo mwenye miwani au huyo mwanaume aliyejifunika kitambaa cheupe?
 
Wimbo ulofanya afungiwe mmeusikia lakini? Achana na huo wa shika ke@&& huo wa sasa hivi ni hatari matusi makubwa mnoo
Hatukatai ni utaratibu wa kibao kata ila hizo nyimbo huaga hazisambazwi wanaimbia huko huko kwenye shughuli zao wenyewe!
 
Back
Top Bottom