Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Sasa mbona jina halimaUyo ni mwanaume mkuu,ndugu yangu.
Sasa mbona jina halimaUyo ni mwanaume mkuu,ndugu yangu.
Jamaa amekataje hiko kibao mpaka akafungiwa.. ndo swali langu kubwaSasa mbona jina halima
Nipo nyuma ya muda au naishi kwenye dunia yangu tofauti na dunia wanayoishi watu wengine, sijui hio nyimbo na sijawahi sikia na huyu msanii ndio namsikia leoWimbo ulofanya afungiwe mmeusikia lakini? Achana na huo wa shika ke@&& huo wa sasa hivi ni hatari matusi makubwa mnoo
Hatukatai ni utaratibu wa kibao kata ila hizo nyimbo huaga hazisambazwi wanaimbia huko huko kwenye shughuli zao wenyewe!
Nchi hii basi ina wasanii wengiNipo nyuma ya muda au naishi kwenye dunia yangu tofauti na dunia wanayoishi watu wengine, sijui hio nyimbo na sijawahi sikia na huyu msanii ndio namsikia leo
Maelezo hayajatosha ipo hivi: soma Maelezo haya vizuri
Video ipo wapi?Maelezo hayajatosha ipo hivi: soma Maelezo haya vizuri
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Halima Haji, maarufu kama Halima Kibaokata, kujihusisha na shughuli za sanaa kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia Machi 21, 2026.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya msanii huyo kusambaza video ya muziki inayodaiwa kukiuka maadili ya Mtanzania. Kwa mujibu wa BASATA, tathmini ya kina imebaini kuwa msanii huyo alitenda makosa ya kimaadili kwa makusudi.
Aidha, imeelezwa kuwa Halima alikuwa akifanya shughuli za sanaa bila kusajiliwa rasmi na BASATA, kinyume na taratibu zilizowekwa.
Kutokana na makosa hayo, ametakiwa kuondoa mara moja video hiyo katika mitandao yote ya kijamii na kulipa faini ya shilingi milioni tatu ndani ya siku 14.
BASATA imeonya kuwa maudhui ya video hiyo yalikuwa na lugha ya matusi na maneno ya kudhalilisha, yakihatarisha maadili na heshima ya jamii.
Baraza hilo limekumbusha wasanii wote kuzingatia sheria na miongozo ya maadili, likisisitiza kuwa sanaa ni ajira, biashara na nyenzo muhimu ya maendeleo ya jamii.
Sasa video na maneno ndio km yale ya dada yenu yule RECHO DANGWA, sasa katumia lugha gani ya matusi naa atakusaidia maana ameiona na ameyasikia hayo matusi aliyoyasema humo kwenye hio Clip, lakini hayo ni mambo ya uswahilini yanaendelea huko chini kwa chini unapoyaanika juu ndio hayo yaliyomkuta shida mwana maleviya njaa mwana malegeza.
Yaan mpaka najiona naishi dunia ya peke yangu Mzee mwenzangu, tushazeeka hakika sio mchezoNchi hii basi ina wasanii wengi
Kumbe mzee mwenzangu wote tuko nje ya wakat tunapitwa 😄
Ova
Video muulize naa alipoiona atakwambia ukaione mimi sijui na simjui huyo msanii
Kwa mitusi ile hiyo miaka mitatu ni michacheWimbo ulofanya afungiwe mmeusikia lakini? Achana na huo wa shika ke@&& huo wa sasa hivi ni hatari matusi makubwa mnoo
Hatukatai ni utaratibu wa kibao kata ila hizo nyimbo huaga hazisambazwi wanaimbia huko huko kwenye shughuli zao wenyewe!
Kwa sisi ambao ofisi zetu ziko mitandaoni tunajua kila aina ya taka taka mkuu maana unakutana nao tu bila hata kutaka 😄Nipo nyuma ya muda au naishi kwenye dunia yangu tofauti na dunia wanayoishi watu wengine, sijui hio nyimbo na sijawahi sikia na huyu msanii ndio namsikia leo
Makende yamemponza.Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili.
Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa kipande cha video hiyo kwenye mitandao ya kijamii.