Akate rufaa, utamaduni na nyimbo za kibao tangu enzi na enzi ndiyo ulivyo. Hajafanya lolote nje ya tamaduni za kibao kata, 🔞.Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili.
Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa kipande cha video hiyo kwenye mitandao ya kijamii.
Mleta mada angeiambatanisha na video yenyewe ili na sisi wananchi tuikagueNaomba ufafanuz kwa hyo kosa lake KUKIKATA KIBAO TU
Vp hawa wanaokata maumo hadharani itakuaje
Kwenye picha hapo yeye ni yupi?Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili.
Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa kipande cha video hiyo kwenye mitandao ya kijamii.
Huyo mwenye miwaniKwenye picha hapo yeye ni yupi?
Hawa mbona sheria zao zinachagua watu wanyonge wanyonge tu ambao hata kula yao ya shida ila watu kama wakina Gigy money,Mwijaku,Konde Boy,Simba dangote hawaguswi au hawa mambo yote wayafanyayo yanaipendeza jamii?
Sio kwamba natetea kwamba kibao kata inafanya sahihi ila najiuliza tu kwa nini sheria zao zinakuwa butu kwa baashi ya watu na zinakuwa kali kwa watu wengine.
Uyo ni mwanaume mkuu,ndugu yangu.Huyu c ndo ameimba makende au?
Huyu n mwanamke au mwanaume?
Ni yupi kati ya hao wawili? ni huyo mwenye miwani au huyo mwanaume aliyejifunika kitambaa cheupe?Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili.
Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa kipande cha video hiyo kwenye mitandao ya kijamii.