Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 50
Annina unajua maana ya kusamehe?
Kama unajua maana yake na kweli umemsamehe basi mkaribishe shangazi yako.
Annina unamwamini mchumba wako?
Kama unamwamini mchumba wako basi mkaribishe shangazi yako.
Hapo kwenye red: Unless hamwamini boyfriend wake. Otherwise huo utakuwa utumwa!Pole sana Annina..Pole kwa kuumizwa hivyo, imenigusa sana moyoni rafiki yangu.
Nadhani jambo la msingi, kama ulimsamehe kikweli, mkaribishe nyumbani, lakini umwambie b/f wako asije nyumbani muda wote huo, maana anaweza kumnyakua huyo!
Bora muwe mnakutania kwa b/f wako kuliko hapo kwako.Lakini katika kukaa nae usikumbushe yaliyopita, we kaa kimya kama kobe anaetunga sheria, na akianzisha maneno hayo we nyamaza tu!
Miezi 9 si mingi, atamaliza na kuchapa zake mwendo, na atakuachia amani yako.
Lakini pia kama ana akili, kweli anaweza kurudia kosa ZITO NAMNA HIYO?
All in all, you forgave, then forget!
Hehehe! Ukiona hivyo ujue jana niliutandika mtindi wa kutosha. Nikiwa na hangover kichwa changu huwa kinakuwa na hekima sana! Hahahaha! SENKSI![/B]
Siku zingine mpwa utafikiri sio wewe,maneno machache yenye ujumbe mzito.Aninna X-pin gave you a way out of your problem,kwani usipokuwa makini hautakuwa na amani milele.
My dia najua jinsi inavyouma hasa kusalitiwa na mpz,mm naona msamehe maadam ulihsasamehe,mkaribishe nyumbani kwako na na ikiwezekana na mpz wako pia mwambie aje!Imay sound stange to some pple but ol I knw is kama Mungu kapanga ulie nae sasa awe wako atakuwa tu.ktk maisha hutakiwi kuwa na wasiwasi kama digidigi!cha muhimu ni ww kujiamini,then utawaamini wengine,kama litatokea lolote tena usife moyo,he wasnt ment for u!God will make a way
Hapo kwenye red: Unless hamwamini boyfriend wake. Otherwise huo utakuwa utumwa!
mzee wa live-bandLeo mama umemwaga pointi kama mseminaristi. Umeona Senksi kule?
Leo mama umemwaga pointi kama mseminaristi. Umeona Senksi kule?
Hehehe! Ukiona hivyo ujue jana niliutandika mtindi wa kutosha. Nikiwa na hangover kichwa changu huwa kinakuwa na hekima sana! Hahahaha! SENKSI!
You see? Leo umechukua sehemu ya nyama ya ubongo wangu.Na kama atakuwa hamwamini b/friend wake kwa shangazi yake basi huyo uwezi kumuamini tena,Na huyo shangazi ana nini hasa cha kumuwezesha kuchukua kila b/friend wa Aninna.Unless kama bado haujamsamehe.
si unajua wnd imefika na kesho church?lazima nijitakase
hii nayo imekaa njema KIAINAI use what i have to get what I want .
Bila ya shaka jana ulienda kuungama,hauwezi ukawa mtakatifu ghafla kiasi hiki.
You see?
Kama b/f wake si mwaminifu basi atakuwa anamega vimwana vingine kama kawa.
Sasa sijui kama Annina anahofu kwa shangazi yake tu au na kwa wakware wengine?
mzee wa live-band
si unajua wnd imefika na kesho church?lazima nijitakase
Basi mie nilifikiri tofauti,nilidhani jana ulikuwa kwenye dozi ndo maana leo full kumwaga mapoint,kumbe salaaale,ulilala hukohuko.
msamehe shangazi yako, am sure hatarudia tena, ila tu be careful usimuonyeshe mtu wako.
Sa N'UMkuu hiki kitakuwa Kifungo cha Nyumbani kwake sasa, Namshauri Annina aufuate moyo wake unamwambiaje kama Bado ana Kinyongo atafute Njia Nzuri ya Kumpotezea, mojawapo ni kumwambia ninaishi Chumba kimoja na B/F
kwani nilikuwa shetani?