Gentleman,Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Akijiuzulu anapoteza kinga nyingi na yanaweza mkuta yaliyomkuta Polepole. Asijiuzulu abaki humo humo....hilo la kujiuzulu simshauri hata kidogo. Abaki ndani ndo vizuri zaidi.

Akijiuzulu watamshughulukia kwa urahisi abanane humo humo.Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Pambaneni sana wakati huu mpate katiba mpya.Kikubwa kaitaja katiba mpya
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Mkuu Mzee Mwanakijiji , with due respect, I'd like to differ, ushauri wako kuwa ajiuzulu kwanza, ni ule muendelezo wa utopian politics, ili Tanzania tupate maendeleo ya kweli ya kisiasa, kiuchumi na kijamii,hatuhitaji utopian politics, tunahitaji pragmatism politics kwa viongozi ma pragmatic, watakao leta mabadiliko ya kweli na sio rhetirics.Na. M. M. Mwanakijiji
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Unakumbuka Jumbe alifanywa nini ?..kwa nafasi aliyofikia ya Umakamu wa Rais Nchimbi atapewa ulinzi wa serikali wakati wote.
..rejea mafao ya kustaafu ya viongozi wakuu wa serikali.
Kujiuzulu ni politics?Mkuu Mzee Mwanakijiji , with due respect, I'd like to differ, ushauri wako kuwa ajiuzulu kwanza, ni ule muendelezo wa utopian politics, ili Tanzania tupate maendeleo ya kweli ya kisiasa, kiuchumi na kijamii,hatuhitaji utopian politics, tunahitaji pragmatism politics kwa viongozi ma pragmatic, watakao leta mabadiliko ya kweli na sio rhetirics.
Tanzania hapa tulipo, tuko kwenye mfumo wa chama kimoja, ambacho ni chama dola!, CCM ndio kina hodhi huu mfumo kwa sasa, hivyo no one nje ya mfumo huu wa CCM, can be able to do anything or change anything bila kutokea ndani ya mfumo.
Nashauri Watanzania tuwe ni watu wa shukrani, kunapotokea viongozi ndani ya CCM kama huyu VP, awe ni wa kuungwa mkono na kupewa kila aina ya ushirikiano, ili aweze kuleta mageuzi ya kweli.
Wakati CCM na dola wakilaani NRNE, angalia huyu alisema nini PreGE2025 - Bombambili Songea: Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF). Mgeni Rasmi ni KM wa CCM Taifa, Dkt. Emmanuel Nchimbi
Maadam Dira ya Taifa ina katiba mpya- Wahariri wa Habari, Wahariri wa TEF na Wamiliki wa Vyombo vya Habari, Waihakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
- Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA
- View attachment 3637654
- PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!
- PNA: Pongezi Makamu wa Rais Bal. Dr Mchimbi Kuusema Ukweli Kuhusu Ujinga Huu wa Watu Kugombana Kwasababu ya Vyama!. Watanzania Tuukatae Ujinga Huu!
- Kwa Kauli Kama Hizi, Kiukweli Kabisa,Huyu Mtu, Atamsaidia sana Rais Samia,Taifa na Watanzania. Mnaonaje kama 2030 Twende Naye Kwa Utaratibu Ule Ule ?
Ilani ya Uchaguzi ya CCM ikaweka Katiba Mpya- PPR Vox Pop: Mwandishi na Mhariri Nguli Absolom Kibanda, Anazungumzia Ilani ya CCM, Kuhuisha Katiba Mpya ni Kubwa!.
Rais Samia akizindua Bunge jipya alizungumzia katiba mpya - Asante Rais Samia hotuba mwaka mpya, kubwa kuliko yote ni la kuanza kwa mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100, itawezekana?
Na hapa Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?
Kitu kilichobaki ni kupigania kwanza kupata wajumbe wazuri wa constituent assembly ambao watatupatia katiba mpya bora.
P.
Yes, mtu uko chama dola, chama dume, chama determinant ambacho kimekuwa kikifanya ushetani, umeamua kukibadili ili kitende mema kama kuwapatia Watanzania katiba mpya, halafu anakuja mtu kukushauri utoke jikoni uje nje kuwa chokoraa wa kiharakati, hiyo ni nini kama sio siasa?.Kujiuzulu ni politics?
Ujasusi mwingi! Propaganda nyingi!Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Hao WaZbar watamuua kama H. Pole PoleUjanja ujanja uleule wa Humphrey Polepole na yeye anapita mule mule.
Nusu mguu nusu mguu... Toa miguu yote.
WaTanganyika makini wapo hatarini!Akijiuzulu anapoteza kinga nyingi na yanaweza mkuta yaliyomkuta Polepole. Asijiuzulu abaki humo humo....hilo la kujiuzulu simshauri hata kidogo. Abaki ndani ndo vizuri zaidi.
Imas akiachia ngazi tu na safari yake ya kwenda kusalimiana na Balozi Polepole itaanzia hapo hapo.Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Kuna watu wamedanganyika? Sidhani.Watanganyika tunadanganyika kirahisi sana.
Absolutely trueNina ndugu yangu ni MNEC na kigogo lakini tangu kipindi cha Jiwe yupo CCM kimwili akiamini kwamba mabadiliko ya kweli yatapatikana kwa "mapigano" ndani ya CCM.
Katika vita kama hii lazima ujue kuna mtu anaitwa Nchimbi na Makamu wa Rais. Akijiuzulu awe huru kama Emanuel Nchimbi raia atakuwa kachuja yaani diluted. Kuwa makamu wa Rais ni turufu kubwa kuwa ni jabali ambalo haliwezi kuangushwa kirahisi. Akiachia hicho cheo atakuwa kama Sumaye au Lowasa walipoingia Chadema, polisi wa kawaida tu watamtetemesha.Na. M. M. Mwanakijiji