Hallelujah! Nchimbi Ameokoka, Bwana Asifiwe!!!?

Hallelujah! Nchimbi Ameokoka, Bwana Asifiwe!!!?

Katika vita kama hii lazima ujue kuna mtu anaitwa Nchimbi na Makamu wa Rais. Akijiuzulu awe huru kama Emanuel Nchimbi raia atakuwa kachuja yaani diluted. Kuwa makamu wa Rais ni turufu kubwa kuwa ni jabali ambalo haliwezi kuangushwa kirahisi. Akiachia hicho cheo atakuwa kama Sumaye au Lowasa walipoingia Chadema, polisi wa kawaida tu watamtetemesha
Nchimbi abaki hapohapo, awape elimu CCM waoga ili nao wapate akili, naona kama 80 percent ya CCM wameshangilia hii hotuba.
Hilo linaweza kuwa kweli. Lakini mtendaji yeyote anapopingana na kiongozi wake au taasisi take kwa jambo kubwa na anatomy ushauri ukakataliwa anapaswa kujiuzulu in principle. Malecela alilazimishwa kujiuzulu baada ya hoja ya Tanganyila.
 
..kwa nafasi aliyofikia ya Umakamu wa Rais Nchimbi atapewa ulinzi wa serikali wakati wote.

..rejea mafao ya kustaafu ya viongozi wakuu wa serikali.
Unajua kama kweli kuna mvutano/mnyukano kinachoweza kutokea ni CCM kuamua kumvua uanachama Nchimbi kwa shinikizo la Rais. Tutakuwa na mgogoro wa Kikatiba?
 
Hapana, lengo sio kupiga pesa , lengo ni kupata good representation, mimi binafsi ningefurahi kama Mkuu Mzee Mwanakijiji atakuwa mwakilishi wa diaspora kwenye Bunge Maalum la Katiba.
P
Kwa hiyo hilo bunge litajadili tena rasimu ya Warioba?...vp kuhusu Ile iliyojadiliwa na kupitishwa na bunge la katiba?...Ina maana itachomwa tuanze upya?..
 
Kwa hiyo hilo bunge litajadili tena rasimu ya Warioba?...vp kuhusu Ile iliyojadiliwa na kupitishwa na bunge la katiba?...Ina maana itachomwa tuanze upya?..
no rasimu ni ile ile, ina huishwa tuu kufanyiwa maboresho.
P
 
Unajua kama kweli kuna mvutano/mnyukano kinachoweza kutokea ni CCM kuamua kumvua uanachama Nchimbi kwa shinikizo la Rais. Tutakuwa na mgogoro wa Kikatiba?
CCM wakati mwingine hutengeneza ugomvi halafu wenyewe kwa wenyewe hurushiana maneno na vijembe.
Lengo hapa ni kuwapumbaza wananchi au upinzani.Na
Kama ugomvi ni WA kweli lazima mmoja anyofolewe roho.
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji , with due respect, I'd like to differ, ushauri wako kuwa ajiuzulu kwanza, ni ule muendelezo wa utopian politics, ili Tanzania tupate maendeleo ya kweli ya kisiasa, kiuchumi na kijamii,hatuhitaji utopian politics, tunahitaji pragmatism politics kwa viongozi ma pragmatic, watakao leta mabadiliko ya kweli na sio rhetirics.

Tanzania hapa tulipo, tuko kwenye mfumo wa chama kimoja, ambacho ni chama dola!, CCM ndio kina hodhi huu mfumo kwa sasa, hivyo no one nje ya mfumo huu wa CCM, can be able to do anything or change anything bila kutokea ndani ya mfumo.

Nashauri Watanzania tuwe ni watu wa shukrani, kunapotokea viongozi ndani ya CCM kama huyu VP, awe ni wa kuungwa mkono na kupewa kila aina ya ushirikiano, ili aweze kuleta mageuzi ya kweli.

Wakati CCM na dola wakilaani NRNE, angalia huyu alisema nini PreGE2025 - Bombambili Songea: Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF). Mgeni Rasmi ni KM wa CCM Taifa, Dkt. Emmanuel Nchimbi

Maadam Dira ya Taifa ina katiba mpya- Wahariri wa Habari, Wahariri wa TEF na Wamiliki wa Vyombo vya Habari, Waihakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

Ilani ya Uchaguzi ya CCM ikaweka Katiba Mpya- PPR Vox Pop: Mwandishi na Mhariri Nguli Absolom Kibanda, Anazungumzia Ilani ya CCM, Kuhuisha Katiba Mpya ni Kubwa!.

Rais Samia akizindua Bunge jipya alizungumzia katiba mpya - Asante Rais Samia hotuba mwaka mpya, kubwa kuliko yote ni la kuanza kwa mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100, itawezekana?

Na hapa Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?

Kitu kilichobaki ni kupigania kwanza kupata wajumbe wazuri wa constituent assembly ambao watatupatia katiba mpya bora.

P.
paschal sometimes unakuaga kama
Team mtandao
 
Ipi Sasa? Ya Warioba au ya lile bunge la katiba?
Kinachofanyika ni muendelezo wa pale tulipoishia, kazi ya kwanza is to exhaust kilichopo, kisha tunajadili tuongeze nini, kikubwa kitakachoongezeka ni hoja ya serikali tatu, tutaondoa huku ya kifo, rais atapunguziwa madaraka na yeye pia alipe kodi na mengine mengi madogo madogo.
P
 
Mimi siyo shabiki wa CCM ila napinga nchimbi kujiuzulu. Kwanini ajiuzulu kwani kakosea wapi kutoa maoni yake? Apambanie mawazo yake huko huko ndani ya CCM ndio demokrasia hiyo.
 
Wewe ni mtu wa mfumo nani hasiejua huyu nae yuko chini ya brother wa MSG ni vile mama kamweka pembeni yule jamaa sasa anasukuma kete nyingine?
Ukiwa ni mzalendo wa kweli wa nchi yako, na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, huchelewi kuonekana kama unatumika!.
P
 
Upinzani waje na hoja nyingine,hiyo ya Katiba ni yetu CCM na tumeweka kwenye Ilani yetu
 
Back
Top Bottom