Hallelujah! Nchimbi Ameokoka, Bwana Asifiwe!!!?

Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.

Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?

Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...

AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Katika vita kama hii lazima ujue kuna mtu anaitwa Nchimbi na Makamu wa Rais. Akijiuzulu awe huru kama Emanuel Nchimbi raia atakuwa kachuja yaani diluted. Kuwa makamu wa Rais ni turufu kubwa kuwa ni jabali ambalo haliwezi kuangushwa kirahisi. Akiachia hicho cheo atakuwa kama Sumaye au Lowasa walipoingia Chadema, polisi wa kawaida tu watamtetemesha.

Nchimbi abaki hapohapo, awape elimu CCM waoga ili nao wapate akili, naona kama 80 percent ya CCM wameshangilia hii hotuba.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.

Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?

Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...

AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Akijiuzulu anapoteza kinga nyingi na yanaweza mkuta yaliyomkuta Polepole. Asijiuzulu abaki humo humo....hilo la kujiuzulu simshauri hata kidogo. Abaki ndani ndo vizuri zaidi.
Mkuu 'Mzee Mwanakijiji' naamini unao uwezo wa kuandika vizuri na kueleweka zaidi ya huu ulioonyesha hapa.

Mimi sitaki kumtetea Nchimbi, ila nimekwisha weka wazi kuwa nipo tayari kusikiliza aliyonayo zaidi ya haya aliyosema siku hizi za karibuni.

Sasa wewe unajitokeza na kutueleza "Yaani leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa...." Kwanza sijasikia "upinzani" uliompa ushujaa kwa kusema aliyosema; lakini mbaya zaidi, wewe unayemjuwa Nchimbi vizuri, hujaweka mfano hata mmoja wa mambo aliyofanya/aliyosema, ambayo leo unaweza kuyachukulia kuwa kageuka kinyumenyume. Sisi tusiomjuwa vyema tutaelewa nini.

Nchimbi ni mtu mkimya, hasemisemi sana, na mara chache sana taarifa zake zimewekwa kwenye vyombo vya habari,
Sasa kama kuna mambo ya kushangaza unayoyaona wewe yanayokinzana na haya aliyotamka sasa, tueleze na sisi tuyajue kabla hatujampa uaminifu wetu zaidi kwa haya aliyoanza kuyazungumzia

Tofauti na wewe, binafsi namtaka azungumzie zaidi maswala yaliyomo ndani ya chama cchake, maana haya yote aliyozungumzia ni matokeo tu ya yaliyoamriwa ndani ya chama.
Ubovu mkubwa unaanzia huko ndani ya chama, kwamba hata kubadili Katiba hakuwezi kusaidia lolote ikiwa CCM bado inaendelea na ubovu uleule.

Kuzungumza kwa Nchimbi kuna faida nyingine. Wamo, hata huko ndani ya CCM wasiokubaliana na mambo mengi yanayofanywa kwa jina la chama chao, lakini hawajui wapi pa kuanzia kuchangia mawazo yao. Kuzungumza kwa Nchimbi kunaweza kuwapa fursa ya kujitokeza na kuonyesha kutoridhishwa kwao.

Kwa hiyo, acha Nchimbi aseme, pengine hata watendaji kama akina Camillius Wambura na Generali Mkunda watapata sehemu ya kujiegemeza kutotumia vyombo vya waTanzania kuwaumiza.
 
Akiachia ngazi hata mwezi hamalizi watamuua, abaki huko huko lakini azidi kuwapelekea moto hadi kuwake kabisa.
 
Nina ndugu yangu ni MNEC na kigogo lakini tangu kipindi cha Jiwe yupo CCM kimwili akiamini kwamba mabadiliko ya kweli yatapatikana kwa "mapigano" ndani ya CCM.
Na hayo "mapigano" ni lazima yawe na kiongozi upande wa pili. Huenda ndiye Nchimbi.

'Mzee Mwanakijiji' anakosea sana kupendekeza Nchimbi ajiuzuru wadhifa wake; halafu wamtwange vizuri na kumfukuzia mbali.
Akomae tu akiwa huko ndani, kama kweli kaamua kuwa tofauti na hilo genge.
 
Binafsi naona Nchimbi anaigiza, analofanya ni mpango wa CCM na serekali yake.
Unategemea nini unaposukuma gari nawe ukiwa ndani ya gari hilo.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.

Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?

Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...

AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Kwa hiyo yenu ni umakamu wa Rais, mna roho zilizojaa husda
 
Mzee Mwanakijiji
Wanaomshangilia Nchimbi hawafanyi hivyo kwa makosa. Kuna cheer leaders au chawa na wanaosikiliza hadithi bila kuchambua wasifu wa msimuliaji na maneno ndani ya hadhithi.

1. VP Nchimbi (EN) anasema '' haki ni msingi wa amani''. Miaka 20 hapa JF tumezungumza hilo, EN alikuwa wapi hadi jana aliposhushiwa '' ufunuo''

2. EN alikuwa Dodoma wakati mkokoteni ukiwekwa mbele ya Farasi, naye akapanda. Waliouliza wakanyimwa haki ya kusikilizwa. EN alikuwa kimyaa kafubata pande la mkate. Leo EN anatufundisha usambamba wa haki na amani

3. EN kasema watu wakomae na Katiba. Wiki hii waliokomaa wamepewa kesi za ugaidi, EN kimyaa

4. EN kasema Katiba itakayotumika 2029 serikali za mitaa na 2030 uchaguzi mkuu! hapa ndipo ghilba ilipo.
EN anataka watu wa focus huko ili kutoa ahueni ya hali ilivyo, kisha atakuja na story nyingine ili kupata katiba watu waridhiane. EN hakuzungumzia kilichotokea oct 29. Hakuona uchafuzi wa amani! wala hakuona haki ikisiginwa.

EN anatuonyesha kipande cha chupa ya bia watu waaminii ni dhahabu!
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.

Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?

Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...

AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.

Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?

Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...

AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Zipo hatua kadhaa inabidi Nchimbi apitie Ili tumuamini,kwanza ajiuzulu nafasi yake ya VP. Vita yake iwe nje ya mfumo,japo tunajua ccm na serikali yake wanaweza kufanya hivyo kumtaka Nchimbi aondoke kwenye nafasi yake kwa lengo la kuilinda serikali na ionekane Nchimbi aonekane anaipinga serikali kumbe ni wamoja
 
Yes, mtu uko chama dola, chama dume, chama determinant ambacho kimekuwa kikifanya ushetani, umeamua kukibadili ili kitende mema kama kuwapatia Watanzania katiba mpya, halafu anakuja mtu kukushauri utoke jikoni uje nje kuwa chokoraa wa kiharakati, hiyo ni nini kama sio siasa?.
P
To be fair to Mwanakijiji, hajasema kwamba Nchimbi ajiuzulu ili awe "chokoraa wa kiharakati". Nadhani alichomaanisha ni kwamba kama Nchimbi ana maoni tofauti na ya chama chake kuhusu lengo na utekelezaji wa mabadiliko ya katiba basi ajiuzulu.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.

Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?

Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...

AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Makini kabisa.
Naunga mkono ushauri hapo mwishoni
 
Kuna watu wamedanganyika? Sidhani.
Wapo wengi sana. Hujaona nyuzi na comments za kufarijiana kwamba Hangaya na kundi lake hawana cha kumfanya Yuda kwasababu ya uwezo wa kisiasa na nafasi ya uongozi aliyonayo Yuda? Tayari kuna watu wanaamini kwamba Yuda anapingana na bosi wake na chama chake. Kitu ambacho hakina ushahidi wowote.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.

Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?

Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...

AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Hivi unadhani katika CCM huwa hakuna wapinzani? Hukumbuki alivyoanzisha wimbo wa ...tuna imani na Lowassa.. Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka CCM.
 
Back
Top Bottom