Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
Katika vita kama hii lazima ujue kuna mtu anaitwa Nchimbi na Makamu wa Rais. Akijiuzulu awe huru kama Emanuel Nchimbi raia atakuwa kachuja yaani diluted. Kuwa makamu wa Rais ni turufu kubwa kuwa ni jabali ambalo haliwezi kuangushwa kirahisi. Akiachia hicho cheo atakuwa kama Sumaye au Lowasa walipoingia Chadema, polisi wa kawaida tu watamtetemesha.Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Na. M. M. Mwanakijiji

Mkuu 'Mzee Mwanakijiji' naamini unao uwezo wa kuandika vizuri na kueleweka zaidi ya huu ulioonyesha hapa.Akijiuzulu anapoteza kinga nyingi na yanaweza mkuta yaliyomkuta Polepole. Asijiuzulu abaki humo humo....hilo la kujiuzulu simshauri hata kidogo. Abaki ndani ndo vizuri zaidi.
Na hayo "mapigano" ni lazima yawe na kiongozi upande wa pili. Huenda ndiye Nchimbi.Nina ndugu yangu ni MNEC na kigogo lakini tangu kipindi cha Jiwe yupo CCM kimwili akiamini kwamba mabadiliko ya kweli yatapatikana kwa "mapigano" ndani ya CCM.
Matusi ya nini sasa?unaposoma hoja za Mzee mwanakijiji uwe na akili tanabahifu.Walokole ni takataka na makafir wote akil zao zipo makalioni
Mbogamboga wametuweza
CCM haipo kwenye miti na mawe bali watu.Ni wajinga wachache wataikubali hiyo sinema, upo sahihi sana kama ameokoka kweli, aachie ngazi.
Wenye akili timamu wote tunajua adui watanzania ni CCM sio wanaccm
Binafsi naona Nchimbi anaigiza, analofanya ni mpango wa CCM na serekali yake.Na hayo "mapigano" ni lazima yawe na kiongozi upande wa pili. Huenda ndiye Nchimbi.
'Mzee Mwanakijiji' anakosea sana kupendekeza Nchimbi ajiuzuru wadhifa wake; halafu wamtwange vizuri na kumfukuzia mbali.
Akomae tu akiwa huko ndani, kama kweli kaamua kuwa tofauti na hilo genge.
Unakumbuka Jumbe alifanywa nini ?
Na kama akipewa ulinzi hautakuwa wa kumsaidia bali kumdhibiti
Kwa hiyo yenu ni umakamu wa Rais, mna roho zilizojaa husdaNa. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Zipo hatua kadhaa inabidi Nchimbi apitie Ili tumuamini,kwanza ajiuzulu nafasi yake ya VP. Vita yake iwe nje ya mfumo,japo tunajua ccm na serikali yake wanaweza kufanya hivyo kumtaka Nchimbi aondoke kwenye nafasi yake kwa lengo la kuilinda serikali na ionekane Nchimbi aonekane anaipinga serikali kumbe ni wamojaNa. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Huku ataka na kule ataka...Na. M. M. Mwanakijiji
Hallelujah! Nchimbi Ameokoka, Bwana Asifiwe!!!?
Vyote atakosa...AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!
Ulinzi kupewa si jambo la kumlinda abaki ndani humo humo..kwa nafasi aliyofikia ya Umakamu wa Rais Nchimbi atapewa ulinzi wa serikali wakati wote.
..rejea mafao ya kustaafu ya viongozi wakuu wa serikali.
To be fair to Mwanakijiji, hajasema kwamba Nchimbi ajiuzulu ili awe "chokoraa wa kiharakati". Nadhani alichomaanisha ni kwamba kama Nchimbi ana maoni tofauti na ya chama chake kuhusu lengo na utekelezaji wa mabadiliko ya katiba basi ajiuzulu.Yes, mtu uko chama dola, chama dume, chama determinant ambacho kimekuwa kikifanya ushetani, umeamua kukibadili ili kitende mema kama kuwapatia Watanzania katiba mpya, halafu anakuja mtu kukushauri utoke jikoni uje nje kuwa chokoraa wa kiharakati, hiyo ni nini kama sio siasa?.
P
Makini kabisa.Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Wapo wengi sana. Hujaona nyuzi na comments za kufarijiana kwamba Hangaya na kundi lake hawana cha kumfanya Yuda kwasababu ya uwezo wa kisiasa na nafasi ya uongozi aliyonayo Yuda? Tayari kuna watu wanaamini kwamba Yuda anapingana na bosi wake na chama chake. Kitu ambacho hakina ushahidi wowote.Kuna watu wamedanganyika? Sidhani.
Hivi unadhani katika CCM huwa hakuna wapinzani? Hukumbuki alivyoanzisha wimbo wa ...tuna imani na Lowassa.. Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka CCM.Na. M. M. Mwanakijiji