Nchimbi nafikili ile siku amemtembelea Mzee wa Taifa Warioba alirudishwa shule tena , Mzee Warioba Mungu akutunze sana ,unjua na unajua sana , Jk yupo kama haoni vileNa. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Kama the determinant ya mabadiliko ni CCM, hivi wenzetu bado hamjaona Nchimbi ni mpango wa Mungu, kuibadili CCM from inside?, ajiuzulu awe nje ya mfumo, ukiishakuwa nje ya mfumo, utaweza kufanya nini?, nothing!, huko ndiko mimi nilikokuita ni uchokoraa wa uanaharakati. The real changes must come from within. He is the No.2, with all the chances to be no.1, anytime from now!, only kichaa ndio atakubali ushauri wa kujiuzulu, ajiuzulu ili afanye nini?, ajiuzulu na kujiunga na uanaharakati uchokoraa with no power at all zaidi ya kupiga tuu kelele?, au tushukuru No. 2 amepata wokovu akiwa number 2 and anytime from now anakwenda kuwa no. 1, ndio maana nimeshauriTo be fair to Mwanakijiji, hajasema kwamba Nchimbi ajiuzulu ili awe "chokoraa wa kiharakati". Nadhani alichomaanisha ni kwamba kama Nchimbi ana maoni tofauti na ya chama chake kuhusu lengo na utekelezaji wa mabadiliko ya katiba basi ajiuzulu.
Nakuunga mkono kwa mada yako MMKJJ, lakini siungi mkono swala la kujiuzulu.Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
No he is different, Polepole alimtaka asigombee kwasababu amezungukwa na wahuni, hivyo alikuwa anapinga mambo ya CCM, ndio tukamshauri huwezi kuikosoa CCM ukiwa ndani ya CCM na ukabaki salama. Anachofanya huyu sio kuikosoa CCM bali kui transform CCM from inside. The changes zinaanzia ndani ya CCM, hivyo huyu jamaa, atatusaidia sana!.Ujanja ujanja uleule wa Humphrey Polepole na yeye anapita mule mule.
Nusu mguu nusu mguu... Toa miguu yote.
Wewe unamuulizia Polepole na kuuliza kama wameshindwa kuwakamata wasiojulikana!, then unaonekana you just don't the games people plays!.Awe makini sana yasije kumkuta ya Polepole!
Hivi Polepole yupo kweli? Serikali imeshindwa hadi leo kuwakamata "magaidi" walimteka nyara?
Kwa nukuu hii "and anytime from now anakwenda kuwa no.1," sina budi kukukumbusha kwamba you are overplaying your hand.Kama the determinant ya mabadiliko ni CCM, hivi wenzetu bado hamjaona Nchimbi ni mpango wa Mungu, kuibadili CCM from inside?, ajiuzulu awe nje ya mfumo, ukiishakuwa nje ya mfumo, utaweza kufanya nini?, nothing!, huko ndiko mimi nilikokuita ni uchokoraa wa uanaharakati. The real changes must come from within. He is the No.2, with all the chances to be no.1, anytime from now!, only kichaa ndio atakubali ushauri wa kujiuzulu, ajiuzulu ili afanye nini?, ajiuzulu na kujiunga na uanaharakati uchokoraa with no power at all zaidi ya kupiga tuu kelele?, au tushukuru No. 2 amepata wokovu akiwa number 2 and anytime from now anakwenda kuwa no. 1, ndio maana nimeshauri
Kwa Kauli Kama Hizi, Kiukweli Kabisa,Huyu Mtu, Atamsaidia sana Rais Samia,Taifa na Watanzania. Mnaonaje kama 2030 Twende Naye Kwa Utaratibu Ule Ule ?
P
Pole mkuu. Naona unatushambulia sisi walokole. Watu ambao hatuna daawa yoyote na wewe. Ni ombi langu kwamba Mwokozi Yesu Kristo akukumbuke na KUKUOKOA kama alivyoniokoa mimi.Walokole ni takataka na makafir wote akil zao zipo makalioni
Mbogamboga wametuweza
Ni vema ashikilie hapo hapo, akijiuzulu tu ndiyo mwisho wake na Samia atakuwa ameshinda na Katiba mpya kamwe haitapatikana!Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Toa na wewe Kauli yako ili tuipimeNa. M. M. Mwanakijiji

Nafikiri tuanze kuliona tatizo.Ni vema ashikilie hapo hapo, akijiuzulu tu ndiyo mwisho wake na Samia atakuwa ameshinda na Katiba mpya kamwe haitapatikana!
mzee,bado upo? nikajua ulishatekwa aisee.nimefurahi kuona bado upoooNa. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
mzee umezinguaaa.hafu akijiuzulu inakuwajeNa. M. M. Mwanakijiji

Ndani ya CCM kuna wakongwe wamepanga warithi wa Urais, kwa hiyo wasingependa mabadiliko yo yote ya Katiba ambayo yatazuia au kufifisha azma yao ya kuweka mtu wao katika nafasi hiyo. Juhudi za kupigania Katiba mpya lazima ziongezwe ndani na nje ya vyama vya siasa.Nafikiri tuanze kuliona tatizo.
Tatizo si Mama Samia , tatizo ni Katiba ambayo kiongozi yoyote akiwa na madaraka , yawe na checks and balances zinazotakiwa ili maslahi ya nci na wananchi yalindwe.
hizo tabia ni zipi ww mlevi wa masandareNapenda ukombozi ila ukisema kuokoka uzi wako unageuka takataka kwa tabia za walokole tu bwashee
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.
Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?
Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...
AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Ndiyo maana mimi namsihi aanze kulishughulikia hilo gari humo humo.Binafsi naona Nchimbi anaigiza, analofanya ni mpango wa CCM na serekali yake.
Unategemea nini unaposukuma gari nawe ukiwa ndani ya gari hilo.