Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
- Thread starter
-
- #81
Hilo linaweza kuwa kweli. Lakini mtendaji yeyote anapopingana na kiongozi wake au taasisi take kwa jambo kubwa na anatomy ushauri ukakataliwa anapaswa kujiuzulu in principle. Malecela alilazimishwa kujiuzulu baada ya hoja ya Tanganyila.Katika vita kama hii lazima ujue kuna mtu anaitwa Nchimbi na Makamu wa Rais. Akijiuzulu awe huru kama Emanuel Nchimbi raia atakuwa kachuja yaani diluted. Kuwa makamu wa Rais ni turufu kubwa kuwa ni jabali ambalo haliwezi kuangushwa kirahisi. Akiachia hicho cheo atakuwa kama Sumaye au Lowasa walipoingia Chadema, polisi wa kawaida tu watamtetemesha
Nchimbi abaki hapohapo, awape elimu CCM waoga ili nao wapate akili, naona kama 80 percent ya CCM wameshangilia hii hotuba.
Unajua kama kweli kuna mvutano/mnyukano kinachoweza kutokea ni CCM kuamua kumvua uanachama Nchimbi kwa shinikizo la Rais. Tutakuwa na mgogoro wa Kikatiba?..kwa nafasi aliyofikia ya Umakamu wa Rais Nchimbi atapewa ulinzi wa serikali wakati wote.
..rejea mafao ya kustaafu ya viongozi wakuu wa serikali.
Hiyo safari mbona inaweza kuanzia akiwa hapo hapo; mnasikia tu "kwa shinikizo la damu".... kwishneiiiImas akiachia ngazi tu na safari yake ya kwenda kusalimiana na Balozi Polepole itaanzia hapo hapo.
Unajua kama kweli kuna mvutano/mnyukano kinachoweza kutokea ni CCM kuamua kumvua uanachama Nchimbi kwa shinikizo la Rais. Tutakuwa na mgogoro wa Kikatiba?
Mnatafuta tena hela za kupiga kama mlivyofanya kwenye lile bunge la katiba enzi ya JK.Kitu kilichobaki ni kupigania kwanza kupata wajumbe wazuri wa constituent assembly ambao watatupatia katiba mpya bora
Hapana, lengo sio kupiga pesa , lengo ni kupata good representation, mimi binafsi ningefurahi kama Mkuu Mzee Mwanakijiji atakuwa mwakilishi wa diaspora kwenye Bunge Maalum la Katiba.Mnatafuta tena hela za kupiga kama mlivyofanya kwenye lile bunge la katiba enzi ya JK.
Masikini Polepole...Awe makini sana yasije kumkuta ya Polepole!
Hivi Polepole yupo kweli? Serikali imeshindwa hadi leo kuwakamata "magaidi" walimteka nyara?
Kwa hiyo hilo bunge litajadili tena rasimu ya Warioba?...vp kuhusu Ile iliyojadiliwa na kupitishwa na bunge la katiba?...Ina maana itachomwa tuanze upya?..Hapana, lengo sio kupiga pesa , lengo ni kupata good representation, mimi binafsi ningefurahi kama Mkuu Mzee Mwanakijiji atakuwa mwakilishi wa diaspora kwenye Bunge Maalum la Katiba.
P
no rasimu ni ile ile, ina huishwa tuu kufanyiwa maboresho.Kwa hiyo hilo bunge litajadili tena rasimu ya Warioba?...vp kuhusu Ile iliyojadiliwa na kupitishwa na bunge la katiba?...Ina maana itachomwa tuanze upya?..
Ipi Sasa? Ya Warioba au ya lile bunge la katiba?no rasimu ni ile ile, ina huishwa tuu kufanyiwa maboresho.
P
CCM wakati mwingine hutengeneza ugomvi halafu wenyewe kwa wenyewe hurushiana maneno na vijembe.Unajua kama kweli kuna mvutano/mnyukano kinachoweza kutokea ni CCM kuamua kumvua uanachama Nchimbi kwa shinikizo la Rais. Tutakuwa na mgogoro wa Kikatiba?
paschal sometimes unakuaga kamaMkuu Mzee Mwanakijiji , with due respect, I'd like to differ, ushauri wako kuwa ajiuzulu kwanza, ni ule muendelezo wa utopian politics, ili Tanzania tupate maendeleo ya kweli ya kisiasa, kiuchumi na kijamii,hatuhitaji utopian politics, tunahitaji pragmatism politics kwa viongozi ma pragmatic, watakao leta mabadiliko ya kweli na sio rhetirics.
Tanzania hapa tulipo, tuko kwenye mfumo wa chama kimoja, ambacho ni chama dola!, CCM ndio kina hodhi huu mfumo kwa sasa, hivyo no one nje ya mfumo huu wa CCM, can be able to do anything or change anything bila kutokea ndani ya mfumo.
Nashauri Watanzania tuwe ni watu wa shukrani, kunapotokea viongozi ndani ya CCM kama huyu VP, awe ni wa kuungwa mkono na kupewa kila aina ya ushirikiano, ili aweze kuleta mageuzi ya kweli.
Wakati CCM na dola wakilaani NRNE, angalia huyu alisema nini PreGE2025 - Bombambili Songea: Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF). Mgeni Rasmi ni KM wa CCM Taifa, Dkt. Emmanuel Nchimbi
Maadam Dira ya Taifa ina katiba mpya- Wahariri wa Habari, Wahariri wa TEF na Wamiliki wa Vyombo vya Habari, Waihakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
- Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA
- View attachment 3637654
- PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!
- PNA: Pongezi Makamu wa Rais Bal. Dr Mchimbi Kuusema Ukweli Kuhusu Ujinga Huu wa Watu Kugombana Kwasababu ya Vyama!. Watanzania Tuukatae Ujinga Huu!
- Kwa Kauli Kama Hizi, Kiukweli Kabisa,Huyu Mtu, Atamsaidia sana Rais Samia,Taifa na Watanzania. Mnaonaje kama 2030 Twende Naye Kwa Utaratibu Ule Ule ?
Ilani ya Uchaguzi ya CCM ikaweka Katiba Mpya- PPR Vox Pop: Mwandishi na Mhariri Nguli Absolom Kibanda, Anazungumzia Ilani ya CCM, Kuhuisha Katiba Mpya ni Kubwa!.
Rais Samia akizindua Bunge jipya alizungumzia katiba mpya - Asante Rais Samia hotuba mwaka mpya, kubwa kuliko yote ni la kuanza kwa mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100, itawezekana?
Na hapa Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?
Kitu kilichobaki ni kupigania kwanza kupata wajumbe wazuri wa constituent assembly ambao watatupatia katiba mpya bora.
P.
Kinachofanyika ni muendelezo wa pale tulipoishia, kazi ya kwanza is to exhaust kilichopo, kisha tunajadili tuongeze nini, kikubwa kitakachoongezeka ni hoja ya serikali tatu, tutaondoa huku ya kifo, rais atapunguziwa madaraka na yeye pia alipe kodi na mengine mengi madogo madogo.Ipi Sasa? Ya Warioba au ya lile bunge la katiba?
Mimi siku zote kosa langu humu jf ni moja tuu, kuwa realist, mimi ni mkweli daima, nikukitana na utopia na watopia, siwakopeshi!.paschal sometimes unakuaga kama
Team mtandao
Sometimes unakua kama unatumikaMimi siku zote kosa langu humu jf ni moja tuu, kuwa realist, mimi ni mkweli daima, nikukitana na utopia na watopia, siwakopeshi!.
P
Ukiwa ni mzalendo wa kweli wa nchi yako, na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, huchelewi kuonekana kama unatumika!.Sometimes unakua kama unatumika
Ukiwa ni mzalendo wa kweli wa nchi yako, na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, huchelewi kuonekana kama unatumika!.
P