A
Anonymous
Guest
Mimi ni mtumishi wa umma kutoka Halmashari ya Wilaya Kishapu iliyopo mkoa wa Shinyanga, halmashauri yetu imekuwa haiwatendei haki watumishi wake kama ifuatavyo:
1. Malipo ya fedha za likizo. Watumishi hulipwa kwa kuchelewa mno na mara nyingi hulipwa kiasi kidogo ukilinganisha na kiasi alichokiomba
2. Fedha ya uhamisho imekuwa hailipwi kwa wakati. Ulipwaji unaweza fanyika hata baada ya mwaka au zaidi na Kiasi anacholipwa ni kidogo ukilinganisha na anachostahili
3. Hela ya kujikimu kwa ajira mpya imekuwa ikilipwa kwa kuchelewa sana.
Pendekezo langu naomba mamlaka zinazohusika ziweze kutatua changamoto hii maana zinazorotesha utendaji wa watumishi katika Halmashauri hii.
Pia soma ~ Naibu Waziri Qwaray: Waajiri wote lazima watenge bajeti ya kumlipa mtumishi pindi anapohama