A
Kumbe mkienda Likizo mnalipwa pesa zaidi ya Ile ya Mshahara? Kweli serikalini SecurityMimi ni mtumishi wa umma kutoka Halmashari ya Wilaya Kishapu iliyopo mkoa wa Shinyanga, halmashauri yetu imekuwa haiwatendei haki watumishi wake kama ifuatavyo:
1. Malipo ya fedha za likizo. Watumishi hulipwa kwa kuchelewa mno na mara nyingi hulipwa kiasi kidogo ukilinganisha na kiasi alichokiomba
2. Fedha ya uhamisho imekuwa hailipwi kwa wakati. Ulipwaji unaweza fanyika hata baada ya mwaka au zaidi na Kiasi anacholipwa ni kidogo ukilinganisha na anachostahili
3. Hela ya kujikimu kwa ajira mpya imekuwa ikilipwa kwa kuchelewa sana.
Pendekezo langu naomba mamlaka zinazohusika ziweze kutatua changamoto hii maana zinazorotesha utendaji wa watumishi katika Halmashauri hii
Hizo ni standards za kimataifa , hata private employers walitakiwa kufanya hivyo.Kumbe mkienda Likizo mnalipwa pesa zaidi ya Ile ya Mshahara? Kweli serikalini Security
Huwa ni NAULI kama unaishi mbali na eneo la kazi na una familia ya watu hata 3 hivi na mkeo unaweza jikuta unakula ParefuKumbe mkienda Likizo mnalipwa pesa zaidi ya Ile ya Mshahara? Kweli serikalini Security