Halmashauri ipi nchini inafaa kupandishwa hadhi kuwa Jiji la Saba?

Halmashauri ipi nchini inafaa kupandishwa hadhi kuwa Jiji la Saba?

Halmashauri inayofuata kuwa jiji la 7 Tanzania ni

  • Total voters
    118
  • Poll closed .

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
  • Dar es Salaam
  • Mwanza
  • Tanga
  • Mbeya
  • Arusha
  • Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa jiji. Mpaka kufika 2035 ni Manispaa/Mji upi utakuja kupandishwa hadhi na kuwa Jiji.
Manispaa/Miji hiyo ni,
  1. KINONDONI
  2. SONGEA
  3. KIBAHA
  4. MOROGORO
  5. BUKOBA
  6. KAHAMA
  7. IRINGA
  8. NJOMBE
  9. MOSHI
  10. SUMBAWANGA
Kwa mtazamo wako lipi ni Jiji linalofuata...!?

KUMBUKA
  • Hadhi ya Jiji hugewa Wilaya
  • Kuna mikoa ina majina sawa na mojawapo ya Wilaya zao
  • Mkoa mmoja unaweza kuwa na majiji mawili au zaidi.
  • Majibu ya wadau ,yatakusaidia kujua sehemu mpya ya kwenda kuwekeza.
  • Vigezo vikubwa vya kuwa Jiji ni Idadi ya watu + pato la Wilaya.
  • Majengo ya ghorofa siyo kipimo cha jiji,,

Hadhi za Wilaya kwa mpangilio wa ukubwa wa hadhi ni.
  • Halmashauri ya Wilaya
  • Halmashauri ya mji mdogo
  • Halmashauri ya mji
  • Halmshauri ya manispaa
  • Halmashauri ya Jiji
 
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
  • Dar es Salaam
  • Mwanza
  • Tanga
  • Mbeya
  • Arusha
  • Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa jiji. Mpaka kufika 2035 ni Manispaa/Mji upi utakuja kupandishwa hadhi na kuwa Jiji.
Manispaa/Miji hiyo ni,
  1. KINONDONI
  2. SONGEA
  3. KIBAHA
  4. MOROGORO
  5. BUKOBA
  6. KAHAMA
  7. IRINGA
  8. NJOMBE
  9. MOSHI
  10. SUMBAWANGA
Kwa mtazamo wako lipi ni Jiji linalofuata...!?
Lindi, Pwani na Mtwara
 
Nafikiri una matatizo na uelewa wako ni mdogo, Kinondoni ni nini kwenye hiyo list?
 
Nchi hii ina majiji mawili tu.....Dar es Salaam na Mwanza..huko kwingine ni mkusanyiko wa nyumba nyingi na watu...
Jiji ni moja tu, nyingine ni manispaa zilizochangamka(kwa kufuata mtazamo wako maana hutaki kufuata minimum requirements). Mwanza na arusha zimetofautiana kidogo tu. Its like kwenye mtihani Dar imescore 100%, mwanza ikascore 20% kwenye nafasi ya pili na arusha 17% kama tunafuata vigezo vya kuwa jiji kwa usahihi basi majiji ni mengi tu. Kumbuka dar ilitangazwa jiji 1961 ikiwa kama miji mingine ilivyotangazwa. Kama tutakomaa kwa style yako tutakosea kuita dar au mwanza jiji huku dubai, london nk tukiita jiji pia. Refer picha ya jiji la Dar miaka ya 60 aliyopost Issa michuzi juzijuzi uone lilivyokuwa. Just kama moshi tu
 
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
  • Dar es Salaam
  • Mwanza
  • Tanga
  • Mbeya
  • Arusha
  • Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa jiji. Mpaka kufika 2035 ni Manispaa/Mji upi utakuja kupandishwa hadhi na kuwa Jiji.
Manispaa/Miji hiyo ni,
  1. KINONDONI
  2. SONGEA
  3. KIBAHA
  4. MOROGORO
  5. BUKOBA
  6. KAHAMA
  7. IRINGA
  8. NJOMBE
  9. MOSHI
  10. SUMBAWANGA
Kwa mtazamo wako lipi ni Jiji linalofuata...!?
kwa vyovyote vile mkoa wa Pwani unastahili kuwa jiji kwanza kwa sasa kuna viwanda vingi kushinda Dar na pia majengo kama ndio kigezo na kila kitu kwanza nia ajabu Tanga inakuwa jiji kabla ya Mkoa wa Pwani
 
Nafikiri una matatizo na uelewa wako ni mdogo, Kinondoni ni nini kwenye hiyo list?
Nilitaraj maoni ya namna hiyo...
Ila mkuu nakukumbusha tu.
Jiji na mkoa ni vitu viwili tofauti...
Jiji la Dar ni Wilaya ya Ilala...hadhi ya Jiji ni inagewa Wilaya moja tu.
Mkoa wa Dar ni Ilala+Temeke+Kinondoni+Ubungo+Kigamboni
Halafu kuna Metropolitan area ,hii inahusisha manispaa zote zinazoitegema Jiji flani kwa karibu,Kama Dar metropolitan area ni Wilaya zote za Mkoa husika pamoja na Kibaha.
Vivyo hivyo kwa Tanga.
Jiji ni Wilaya ya Tanga mjini tu.

Hata ukienda Kenya,
Kuna Jiji la Nairobi ambalo lipo ndani ya Kaunti ya Nairobi.
 
kwa vyovyote vile mkoa wa Pwani unastahili kuwa jiji kwanza kwa sasa kuna viwanda vingi kushinda Dar na pia majengo kama ndio kigezo na kila kitu kwanza nia ajabu Tanga inakuwa jiji kabla ya Mkoa wa Pwani
Mkoa Hauwi Jiji,ila Wilaya ndiyo huwa Jiji....
Wilaya ya Tanga ilikuja kuwa Jiji miaka ya 1970 by kipindi ilikuwa ina kubwa sana la fedha kutokana na mkonge na maelfu walikimbilia huko kutafuta ridhiki..
Mkoa mmoja unaweza kuwa na majiji mawili hata manne.
 
Njombe ni mji sio manispaa HiYo mzee manispaa hizi hapa mkoa wa njombe upo busy kutengeneza mji wa viwanda na biashara makambako utakao host kibiashara ruvuma iringa na kilombero ko makambako ndo inakuwa zaidiKama ilivyo shinyanga na kahama
1715494047887.jpg
1702914137702.jpg
1712979041362.jpg
1713453839758.jpg
 
Back
Top Bottom