Halmashauri ipi nchini inafaa kupandishwa hadhi kuwa Jiji la Saba?

Halmashauri inayofuata kuwa jiji la 7 Tanzania ni

  • Total voters
    118
  • Poll closed .
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
  • Dar es Salaam
  • Mwanza
  • Tanga
  • Mbeya
  • Arusha
  • Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa jiji. Mpaka kufika 2035 ni Manispaa/Mji upi utakuja kupandishwa hadhi na kuwa Jiji.
Manispaa/Miji hiyo ni,
  1. KINONDONI
  2. SONGEA
  3. KIBAHA
  4. MOROGORO
  5. BUKOBA
  6. KAHAMA
  7. IRINGA
  8. NJOMBE
  9. MOSHI
  10. SUMBAWANGA
Kwa mtazamo wako lipi ni Jiji linalofuata...!?

KUMBUKA
  • Hadhi ya Jiji hugewa Wilaya
  • Kuna mikoa ina majina sawa na mojawapo ya Wilaya zao
  • Mkoa mmoja unaweza kuwa na majiji mawili au zaidi.
Bwejuu, Micheweni na Chakechake
 
jombe ni mji sio manispaa HiYo mzee manispaa hizi hapa mkoa wa njbe upo busy kutengeneza mji wa viwanda na biashara makambako utakao host kibiashara ruvuma iringa na kilomberoView attachment 2989656View attachment 2989658View attachment 2989659View attachment 2989660
Ndiyo maana nikaweka Manispaa/Mji
Ok ila kwa Sasa kwa mkoa wa njombe mji unakuwa kwa Kasi ni makambako ni sawa ilivyo kahama kwa shinyanga ndo maana mkoa wa njombe ukaamua makambako ndo uwe mji wa viwanda na biashara kama walivo fanya mkoa wa shinyanga kwa kahama mc na mara nyingi miji inayo kuwa kwa mfumo huu ndo yenye chance kubwa kuwa majiji huko mbeleni kuliko inayokuwa kwa mfumo wa kiutawala
 
naom
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
  • Dar es Salaam
  • Mwanza
  • Tanga
  • Mbeya
  • Arusha
  • Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa jiji. Mpaka kufika 2035 ni Manispaa/Mji upi utakuja kupandishwa hadhi na kuwa Jiji.
Manispaa/Miji hiyo ni,
  1. KINONDONI
  2. SONGEA
  3. KIBAHA
  4. MOROGORO
  5. BUKOBA
  6. KAHAMA
  7. IRINGA
  8. NJOMBE
  9. MOSHI
  10. SUMBAWANGA
Kwa mtazamo wako lipi ni Jiji linalofuata...!?

KUMBUKA
  • Hadhi ya Jiji hugewa Wilaya
  • Kuna mikoa ina majina sawa na mojawapo ya Wilaya zao
  • Mkoa mmoja unaweza kuwa na majiji mawili au zaidi.
  • Majibu ya wadau ,yatakusaidia kujua sehemu mpya ya kwenda kuwekeza.

Hadhi za Wilaya kwa mpangilio wa ukubwa wa hadhi ni.
  • Halmashauri ya Wilaya
  • Halmashauri ya mji mdogo
  • Halmashauri ya mji
  • Halmshauri ya manispaa
  • Halmashauri ya Jiji
nataka kuuliza kwani Jiji linawezq kua ndani ya jiji??

yaan kinondoni iwe jiji ndani ya jiji la dar es salaam
 
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
  • Dar es Salaam
  • Mwanza
  • Tanga
  • Mbeya
  • Arusha
  • Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa jiji. Mpaka kufika 2035 ni Manispaa/Mji upi utakuja kupandishwa hadhi na kuwa Jiji.
Manispaa/Miji hiyo ni,
  1. KINONDONI
  2. SONGEA
  3. KIBAHA
  4. MOROGORO
  5. BUKOBA
  6. KAHAMA
  7. IRINGA
  8. NJOMBE
  9. MOSHI
  10. SUMBAWANGA
Kwa mtazamo wako lipi ni Jiji linalofuata...!?

KUMBUKA
  • Hadhi ya Jiji hugewa Wilaya
  • Kuna mikoa ina majina sawa na mojawapo ya Wilaya zao
  • Mkoa mmoja unaweza kuwa na majiji mawili au zaidi.
  • Majibu ya wadau ,yatakusaidia kujua sehemu mpya ya kwenda kuwekeza.
  • Vigezo vikubwa vya kuwa Jiji ni Idadi ya watu + pato la Wilaya.
  • Majengo ya ghorofa siyo kipimo cha jiji,,

Hadhi za Wilaya kwa mpangilio wa ukubwa wa hadhi ni.
  • Halmashauri ya Wilaya
  • Halmashauri ya mji mdogo
  • Halmashauri ya mji
  • Halmshauri ya manispaa
  • Halmashauri ya Jiji
Kusema ukweli Moshi ibastahili sana sana ila politics za CCM kutokubalika sana pande hizo ndio zinazokwamisha haki kutendeka.
 
Moja ya kigezo kwa Tanzania manispaa inayopaswa kupewa hadhi ya jiji lazima halmashauri hiyo iwe pia ni makao makuu ya mkoa, kwa kigezo hiki inapoteza sifa labda taratibu zibadilishwe.
Kumbuka Kuna jiji jipya linataka kuanzishwa la kibiashara kwala pwani je ndo makao makuu ya mkoa hapo ko huenda wameona Bora kuwe na majiji ya mfumo wa viwanda na biashara kama yalivyo majiji MENGINE dunian
 
Na huu mfumo naona ndo unatumika kukuza miji ya kahama mkoa wa shinyanga na makambako mkoa wa njombe ko ni utaratibu tu inatakiwa kwendana na Dunia kuwa na majiji ya staili hii 👇👇👇👇👇👇👇👇👇SERIKALI imelieleza Bunge kuwa inatekeleza mpango wa kuanzisha, kupanga na kuendeleza jiji la kibiashara na uwekezaji katika eneo la Kwala mkoani Pwani. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula amesema hayo bungeni Dodoma wakati anawasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Dk Mabula alisema katika kufanikisha mpango huo, wizara hiyo kwa kushirikiana na wizara nyingine za kisekta imeshiriki katika kuandaa mpango kabambe wa jiji hilo. Alisema mpango kabambe unahusisha eneo lenye ukubwa wa hekta 181,130 linalojumuisha vijiji 30 vya halmashauri za wilaya za Kibaha (16), Chalinze (9) na Kisarawe (5).

“Uanzishwaji wa Jiji hilo unalenga kupata eneo kubwa zaidi la uwekezaji wa viwanda na shughuli nyingine za kiuchumi na pia kupunguza msongamano wa shughuli mbalimbali za kiuchumi katika Jiji la Dar es Salaam ikiwemo Bandari ya Dar es Salaam.
#HabarileoUPDATES
1715659644630.jpg
 
Kumbuka Kuna jiji jipya linataka kuanzishwa la kibiashara kwala pwani je ndo makao makuu ya mkoa hapo ko huenda wameona Bora kuwe na majiji ya mfumo wa viwanda na biashara kama yalivyo majiji MENGINE dunian
Hizo ni "Satellite cities".Hapo wametumia kama msamiati tu nadhani uchache wa maneno ya kiswahili,kwa lugha ya kiingereza mji wowote uwe mdogo au mkubwa unaweza kuita 'city'
 
Pa kukim
Na huu mfumo naona ndo unatumika kukuza miji ya kahama mkoa wa shinyanga na makambako mkoa wa njombe ko ni utaratibu tu inatakiwa kwendana na Dunia kuwa na majiji ya staili hii 👇👇👇👇👇👇👇👇👇SERIKALI imelieleza Bunge kuwa inatekeleza mpango wa kuanzisha, kupanga na kuendeleza jiji la kibiashara na uwekezaji katika eneo la Kwala mkoani Pwani. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula amesema hayo bungeni Dodoma wakati anawasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Dk Mabula alisema katika kufanikisha mpango huo, wizara hiyo kwa kushirikiana na wizara nyingine za kisekta imeshiriki katika kuandaa mpango kabambe wa jiji hilo. Alisema mpango kabambe unahusisha eneo lenye ukubwa wa hekta 181,130 linalojumuisha vijiji 30 vya halmashauri za wilaya za Kibaha (16), Chalinze (9) na Kisarawe (5).

“Uanzishwaji wa Jiji hilo unalenga kupata eneo kubwa zaidi la uwekezaji wa viwanda na shughuli nyingine za kiuchumi na pia kupunguza msongamano wa shughuli mbalimbali za kiuchumi katika Jiji la Dar es Salaam ikiwemo Bandari ya Dar es Salaam.
#HabarileoUPDATESView attachment 2989673

Pa kukimbilia kwenda kununua ardhi...
 
Back
Top Bottom