Nimekuelewa hii ni bajeti ya mwaka huu nadhan wameo Bora kuanzisha majiji ya mfumo huuHizo ni "Satellite cities".Hapo wametumia kama msamiati tu nadhani uchache wa maneno ya kiswahili,kwa lugha ya kiingereza mji wowote uwe mdogo au mkubwa unaweza kuita 'city'
ππππππππππ
TAMISEMI kwa kushirikiana na Wadau imekamilisha
uandaaji wa Mpango Kabambe Jumuishi (Master
Plan) wa uendelezaji wa Jiji la Kibiashara na
Uwekezaji la Kwala kwa kipindi cha Mwaka 2022 β
2050 lenye ukubwa wa hekta 130,831. Eneo hilo
limechukua sehemu za maeneo ya Halmashauri za
Wilaya za Kisarawe, Kibaha na Chalinze.
147.MheshimiwaSpika,kazi zinazoendelea
kufanyika ni ukamilishaji wa eneo la maegesho la
magari makubwa karibu na bandari kavu, utwaaji
shirikishi wa maeneo na fidia mbalimbali, ujenzi
wa barabara na vipande vya reli ili kuunganisha
vitovu vyauzalishaji na usafirishaji ndani ya eneo
la mpango.