Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Kwakweli sioni chochote ambacho Kinana, Makamba na Membe watapoteza wakiamua kutokwenda huko Kamati ya Maadili, zaidi wao ndio watakuwa wamepata faida sana kwa kuachana na CCM..
CCM ni kusanyiko la Binadamu WAPUMBAVU.
Kesi za uhujumu uchumi watazipona?
 
Labda KINANA anaweza kuwa na ujasiri huo

MEMBE anaweza naye kuthubutu..

MAKAMBA sahau bado anapenda wanae waendelea kuwa sehemu ya watafuna keki ya Taifa..

KIFUPI TUFANYENI KAZI KWA MANUFAA YA FAMILIA ZETU, HAWA WANASIASA WA AFRICA WAPO KUTETEA MATUMBO YAO
 
Nami nimejiuliza hilo swali.
CCM is flogging dead horses.
 
Amua ya kwako sio ya kwao.
 
Membe hakuna mwenye ubavu wa kumhoji ndani wala nje ya chama. Wanatapatapa bure. Membe ni level nyingine kabisa. KACHERO
 
Kwa muktadha huo waende, makes sense anyway! All in all CCM ya Magufuli inajulikana kuwa ni dictatorial party under the command of one man. Hivyo hata wasipoenda historia aliyojijengea Magufuli ya udikiteita itawalinda milele.
Lkn kama ulivyo opin, waende!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena bahati nzuri ni wazee,umri umeenda. Bahati mbaya wasitegemee haki yoyote dhidi yao. Hapo ni ksbb ya kamati kujipendekeza kwa mkuu. Mnaachana na lichama lao. Bahati nzuri kuna watu wako nyuma yao,hata humo humo kwenye hilo lidude. Anzeni kuishi maisha yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli sioni chochote ambacho Kinana, Makamba na Membe watapoteza wakiamua kutokwenda huko Kamati ya Maadili, zaidi wao ndio watakuwa wamepata faida sana kwa kuachana na CCM..
CCM ni kusanyiko la Binadamu WAPUMBAVU.
Genge la kiharifu,bora ukutane na mafia wanajurikana ni mafia genge la kiharifu la wazi. Kuliko kukutana na hili genge limejificha mahala patakatifu,halafu likiendeleza uharifu kimya kimya. Iwe wa hisia,kulazimisha,hata wa wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…