Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi za uhujumu uchumi watazipona?Kwakweli sioni chochote ambacho Kinana, Makamba na Membe watapoteza wakiamua kutokwenda huko Kamati ya Maadili, zaidi wao ndio watakuwa wamepata faida sana kwa kuachana na CCM..
CCM ni kusanyiko la Binadamu WAPUMBAVU.
Nami nimejiuliza hilo swali.Nyerere alisema CCM siyo mama yangu! Mkiamua kuwa na ujasiri wa Nyerere mkatamka hivyo na mkafukuzwa (ingawa Nyerere hakufukuzwa) uanachama, mtapoteza nini la maana katika Dunia hii? What significant loss do you stand to suffer in these few remaining years of life on earth?
Lipi linawajengea heshima kati ya kuitwa kama mbwa na kufukuzwa kishujaa?
Twende kanisani na msikitini tusali, ya dunia na CCM tuwaachie Bashiru, Polepole na Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amua ya kwako sio ya kwao.Nyerere alisema CCM siyo mama yangu! Mkiamua kuwa na ujasiri wa Nyerere mkatamka hivyo na mkafukuzwa (ingawa Nyerere hakufukuzwa) uanachama, mtapoteza nini la maana katika Dunia hii? What significant loss do you stand to suffer in these few remaining years of life on earth?
Lipi linawajengea heshima kati ya kuitwa kama mbwa na kufukuzwa kishujaa?
Twende kanisani na msikitini tusali, ya dunia na CCM tuwaachie Bashiru, Polepole na Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawewe ni MSHAMBA sana kama jiweHizo akili za Upinzani msiwafundushe wazee
Mbona mwanaye alishaomba msamaha? Wamwache mzee apumzike. Naye ana uhuru wa kutoa maoni yakeMAKAMBA sahau bado anapenda wanae waendelea kuwa sehemu ya watafuna keki ya Taifa.
CCM kuna vingi ndio maana Lowassa amerudi tofauti na hapo Ufipa chama kizima mnategemea ruzuku ya kila mwezi ya serikali.
Mimi nafikiri ni vema waende. Kuliko kufukuzwa huku wanapakaziwa (unajuwa CCM walivyo bingwa wa kupakaza) mambo ya hovyo wao waende na waombe kikao chao kiwe wazi kwa waandishi kisha watiririke ukweli wa kinachojiri ndani ya CCM na kwa nini wao wanaona huo ni ushamba.
Hapo hata wakifukuzwa heshima yao itakuwa kubwa sana na baada ya kipindi cha jiwe kuondoka au kufyekwa, majina ya hawa wazee yatarudishwa kileleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazishi ya heshima yatakosekana[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Kesi za uhujumu uchumi watazipona?
Tena bahati nzuri ni wazee,umri umeenda. Bahati mbaya wasitegemee haki yoyote dhidi yao. Hapo ni ksbb ya kamati kujipendekeza kwa mkuu. Mnaachana na lichama lao. Bahati nzuri kuna watu wako nyuma yao,hata humo humo kwenye hilo lidude. Anzeni kuishi maisha yenuNyerere alisema CCM siyo mama yangu! Mkiamua kuwa na ujasiri wa Nyerere mkatamka hivyo na mkafukuzwa (ingawa Nyerere hakufukuzwa) uanachama, mtapoteza nini la maana katika Dunia hii? What significant loss do you stand to suffer in these few remaining years of life on earth?
Lipi linawajengea heshima kati ya kuitwa kama mbwa na kufukuzwa kishujaa?
Twende kanisani na msikitini tusali, ya dunia na CCM tuwaachie Bashiru, Polepole na Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Genge la kiharifu,bora ukutane na mafia wanajurikana ni mafia genge la kiharifu la wazi. Kuliko kukutana na hili genge limejificha mahala patakatifu,halafu likiendeleza uharifu kimya kimya. Iwe wa hisia,kulazimisha,hata wa waziKwakweli sioni chochote ambacho Kinana, Makamba na Membe watapoteza wakiamua kutokwenda huko Kamati ya Maadili, zaidi wao ndio watakuwa wamepata faida sana kwa kuachana na CCM..
CCM ni kusanyiko la Binadamu WAPUMBAVU.
Kwa taifa la wajinga lolote linawezekanaCCM kuna vingi ndio maana Lowassa amerudi tofauti na hapo Ufipa chama kizima mnategemea ruzuku ya kila mwezi ya serikali.