Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Mangula atakuja na mafaili ya ushahidiMangula atawaweka sawa waliopotoka
Hata Lowasa kipindi kile anatisha kama Michael Jackson alihojiwa na akina kinana akafungiwa kushiriki siasa kwa muda fulani
Sishangai kina Membe pia wakipewa onyo kama hilo
Hata Lowasa kipindi kile anatisha kama Michael Jackson alihojiwa na akina kinana akafungiwa kushiriki siasa kwa muda fulani
Sishangai kina Membe pia wakipewa onyo kama hilo
Hawana cha kuwafanya mkwara tu huo ionekane hatua zimechukuliwa kama wako serious Wamwite na Mwanaharakati huru kwani huyo ndio chanzo cha Makatibu wakuu wastaafu kuandika barua
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuhakikishia hawa jamaa wanaogopwa sana pale Lumumba saiv na kinachokwenda kutokea hawa jamaa wanafungiwa kutojihusisha na siasa kwa muda wa mwaka mmoja Ili mambo yakawe rahisi mwakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana cha kuwafanya mkwara tu huo ionekane hatua zimechukuliwa kama wako serious Wamwite na Mwanaharakati huru kwani huyo ndio chanzo cha Makatibu wakuu wastaafu kuandika barua
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona wa Kupambana na KACHERO MBOBEZI hapo ,wote weupe kwa HOJA.
Acha kuwaza hivyo alikatwa lowasa atakuwa membe asiye na sumu
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe hakuna wa kumhoji chadema hata afuje vipi mali za chadema na kukanyaga Katiba.
Subiri watemeshwe "NDOANO" na kachero MB0BEZI.Sidhani kama kuna asiye kachero hapo ,ujinga hujisifia ukachero hata kwenye bar
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri watemeshwe "NDOANO" na kachero MB0BEZI.
Subiri watemeshwe "NDOANO" na kachero MB0BEZI.
Mtambuzi mbobevu wa Usalama wa Taifa mstaafu, Kanali wa TPDF Mstaafu na Luteni mstaafu wa TPDF kuitwa mbele ya jopo la Vigogo wa CCM.
Tusubiri mrejesho utavyokuwa baina ya hawa watu 3 wa ulinzi / usalama wastaafu na wanasiasa vigogo wa CCM.