Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Hata Lowasa kipindi kile anatisha kama Michael Jackson alihojiwa na akina kinana akafungiwa kushiriki siasa kwa muda fulani

Sishangai kina Membe pia wakipewa onyo kama hilo
 
Hawana cha kuwafanya mkwara tu huo ionekane hatua zimechukuliwa kama wako serious Wamwite na Mwanaharakati huru kwani huyo ndio chanzo cha Makatibu wakuu wastaafu kuandika barua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuhakikishia hawa jamaa wanaogopwa sana pale Lumumba saiv na kinachokwenda kutokea hawa jamaa wanafungiwa kutojihusisha na siasa kwa muda wa mwaka mmoja Ili mambo yakawe rahisi mwakani
Hawana cha kuwafanya mkwara tu huo ionekane hatua zimechukuliwa kama wako serious Wamwite na Mwanaharakati huru kwani huyo ndio chanzo cha Makatibu wakuu wastaafu kuandika barua

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe hakuna wa kumhoji chadema hata afuje vipi mali za chadema na kukanyaga Katiba.
 
Mtambuzi mbobevu wa Usalama wa Taifa mstaafu, Kanali wa TPDF Mstaafu na Luteni mstaafu wa TPDF kuitwa mbele ya jopo la Vigogo wa CCM.

Tusubiri mrejesho utavyokuwa baina ya hawa watu 3 wa ulinzi / usalama wastaafu na wanasiasa vigogo wa CCM.
 
Hao wote na hivyo vyeo vyao wakiwa nje ya CCM hawana tofauti na Mmachinga tu na wala hawana uwezo wa kufanya lolote lile.

Ila wakiwa ndani ya CCM vyeo vyao ndio vinaweza kuwasaidia kujimwambafai.
 
Back
Top Bottom