Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

M'Mungu aendelee kuniweka mbali na ushabiki wa michezo uyanga na usimba huu ukae mbali nami
 
Kwanza wewe una impact gani kwenye nchi hii. Kwanza siku tukikutaka tu tunakufata hapo si unajua hiyo taasisi ni ya umma!!
Nyie si wauaji! Unajivunia uuaji, kweli hamna akili kabisa.
 
Shida ndo hii hapa bongo. Mtu ukifanya jambo unaweza shangiliwa kupitia kibodi hadi watu shingo zikang'oka ila ukikutana na kibano kinakuwa chako peke yako. Hapa membe anaenda kuwa Mdogo kama pilitoni akiwa bila msululu Wa wanasosho netiweksi. Hatowaona na hatosaidiwa na wana soshonetiweksi zaidi ya kusema Maembe ni jembe.
 
Halmashauri kuu ya CCM imewatahadharisha wabunge watatu machachari Nape, January na Ngeleja kuwa watavuliwa uanachama endapo hawatajirekebisha baada ya kupata msamaha kutoka kwa Mwenyekiti Dr Magufuli na chama kwa ujumla.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
kipindi cha jk Chama kilikuwa cha wanachama, kwa sasa hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom