Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Huyo Zelothe Stephen aliyependekezwa kugombea uenyekiti Arusha si aliwahi kuwa kamanda wa Polisi au majina yanafanana!?

Asilimia 99% ya Ma RPC na Ma OCD ni makada watiifu wa ccm,
hivyo intelligence ya polisi ikionesha Mikutano ya Wapinzani inaviashiria vya uvunjifu wa amani wala usishangae na kuhoji.

Wanatekeleza.
 
Umekua ukijidai mpinga sera sana sasa mwisho wako umewadia,hao wawili ni chambo tu wewe ndo mlengwa na sasa mwisho wako kisiasa umefika
Hivi kumhisi mtu kuwa atachukuwa fomu ya kugombea urais, ndiyo inayomletea chuki kiasi hiki Bernard Membe??

Kwanini basi mnashindwa kumfukuza kutoka kwenye Chama, badala yake mnamtisha tisha??

Hakika chama kikongwe cha CCM sasa hivi ndiyo kinaelekea mwisho wake
 
Yote hiyo ni hofu ya kikundi fulani ndani ya CCM juu ya Mh. Membe. Kwa kuwa siku zote amekuwa mtu huru mwenye kuonyesha hisia zake kwa yale yanayoendelea hapa nchi kwa awamu hii ya tano.

Ni mtu ambaye hapendi kuonyesha unafiki wa aina yoyote ile, na wala hapendi kuwa "sycophant" kwa "big boss" ndiyo maana yote hayo yanafanyika dhidi yake ikiwa kama njia muhimu ya kutaka kumthibiti yeye binafsi na wale wote wenye uelekeo wa kumuunga mkono. Kwa upande wa Mh. Makamba na Kamarade Kinana wao ni ule waraka ndio umewaponza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudisha Kumbukumbu nyuma
Mwaka 2005 CCM waliochujua Fomu walikuwa 24
Mwaka 2010 waliochukua fomu walikuwa 14
Mwaka 2015 walichukua fomu watu 40

Usidanganye watu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Usichanganye fomu za urais na uwenyekiti wa CCM! Tena mwaka 2010 hata fomu ya urais hakuna mwana CCM aliyechukua fomu ya urais!
 
Back
Top Bottom