Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Shallow analysis. hao wote ni kwa vile wako kwenye utumwa wa Jiwe na wanabembeleza kitumbua, wanaogopa kutekwa, kuuawa, kufilisiwa biashara zao, kuulizwa uraia etc, etc. Ngoja iondoke madarakani kama kuna amtu ataitwa akaenda! Think deep!
 
Sijawahi kusikia kiongozi wa Chadema aliyepungukiwa maadili akiitwa kuhojiwa na Kamati ya Nidhamu na Maadili. Mfano ni wale wabunge wawili waliodaiwa kutaka kumteka mstahiki Meya wa Ubungo.

Ndipo sasa najiuliza katika muundo wa uongozi wa Chadema hawana hii Kamati muhimu kwa ajili ya kulinda heshima ya chama ndani na nje?

Ni hako kaswali tu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Sijawahi kusikia kiongozi wa Chadema aliyepungukiwa maadili akiitwa kuhojiwa na kamati ya nidhamu na maadili mfano ni wale wabunge wawili waliodaiwa kutaka kumteka mstahiki Meya wa Ubungo.

Ndiposa najiuliza katika muundo wa uongozi wa Chadema hawana hii kamati muhimu kwa ajili ya kulinda heshima ya chama ndani na nje?

Ni hako kaswali tu

Maendeleo hayana vyama!
CCM kuna kamati hiyo au kuna kikundi cha remote ya jiwe!
 
Sijawahi kusikia kiongozi wa Chadema aliyepungukiwa maadili akiitwa kuhojiwa na kamati ya nidhamu na maadili mfano ni wale wabunge wawili waliodaiwa kutaka kumteka mstahiki Meya wa Ubungo.

Ndiposa najiuliza katika muundo wa uongozi wa Chadema hawana hii kamati muhimu kwa ajili ya kulinda heshima ya chama ndani na nje?

Ni hako kaswali tu

Maendeleo hayana vyama!

CHADEMA Mbowe ndo kila kitu.

Siku Mbowe akifa na CHADEMA nayo ndo inakufa.
 
Muundo wa kifisadi wa CCM sio 'template' kuwa kila mmoja aufuate!
 
Shallow analysis. hao wote ni kwa vile wako kwenye utumwa wa Jiwe na wanabembeleza kitumbua, wanaogopa kutekwa, kuuawa, kufilisiwa biashara zao, kuulizwa uraia etc, etc. Ngoja iondoke madarakani kama kuna amtu ataitwa akaenda! Think deep!
Wewe ni mtumwa was DJ
 
Back
Top Bottom