Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

sio nape Januari na ngeleja hawa walishasamehewa waliotajwa kuvuliwa uanachama ni Yusuf makamba ,membe na kinana umesikiliza vibaya hiyo habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba bramo siyo riziki......hata wewe ulipatikana kwa msaada wa aliaye nyikani kama huamini jihusishe na dna!
Huyo aliye nyikani ndio Baba Bramo
Lazima atakuchapa nao,kama sio yeye basi Mimi.Mwanae ntakuchapa nao kwa Niaba

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Colnel Jeshini, Naibu waziri wa mambo ya njee, waziri wa ulinzi na Katibu Mkuu, yaani vyeo vyote hivyo kwa zaidi ya miaka 20++, bado ana uraia wa utata.

Huko ni kujitia aibu na kuonyesha tuu waongo au wajinga
Alipataje U katibu Mkuu kama uraia wake una mashaka? AIBU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom