Hosting 24
Member
- Aug 1, 2019
- 91
- 228
Nzuri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Membe akiitikia huo wito uchwara na mimi narudisha kadi ya ACT
Kwani huo wito vina uhusiano gani na uanachama wako wa ACT?Membe akiitikia huo wito uchwara na mimi narudisha kadi ya ACT
CCM ina mfumo wake, na ndani ya CCM hakuna mkubwa zaidi ya mfumo.Jiwe halina shukurani. Kabisa!! Kinana kuhojiwa!! Wapi na wapi. Where n where
Jamaa anapenda sana 'kupigiwa magoti'.Nyie makanali wa Jeshi na watumishi wa CCM, hamuwezi kudhalilishwa namna hii na nyie mkaenda kupiga magoti.
KUBALINI MFE KWA HESHIMA, VIZAZI VITAWAKUMBUKA, MSIENDE KUPIGA MAGOTI
Mkuu ataitikiaMembe akiitikia huo wito uchwara na mimi narudisha kadi ya ACT
Jamaa anapenda sana 'kupigiwa magoti'.
Inamfanya ajisikie wengine wote 'kusalimu amri' mbele yake.
'Total submission' kwa kila mtu ndio raha yake.
Hata kinana na makamba watakuwa wamejizalilisha. Ila watakwenda lazima kwa sababu wana makando kando mengi mabegani mwao. Ngao yao ni uanachama wao wa sisihem, wakikosea step chama kikawafukuza basi hata maisha yao haya ya uzeeni yanaweza kugeuka na kuwa magumu sana tofauti na wanavyowaza.Membe akiitikia huo wito uchwara na mimi narudisha kadi ya ACT
Sio kila ndoto hutimia
Km kuna mtu aliamini lazima awe Rais ni Salim
Huyu alikuwa kipenzi cha Nyerer,Lakini ndoto hazikutimia
hata mimi piaCamilius kitanzani. Front page ya news paper ya kesho hahahah...
Tafadhari mwenye kujua wanounda kamati ya usalama na maadili ya Taifa ya chama cha Mapinduzi ni nani na nani wajameni?
uMojawapo ya vitu ambavyo Magufuli anavilazimisha kufanyika sasa hivi ni kuwa asiwepo mtu ambaye "hagusiki" ama iwe kwa sababu ya cheo chake, hadhi yake au historia yake. Ila ukishatengeneza mazingira ya namna hii hata huko mbeleni watu wengine nao watakuja kuitwa vile vile bila kujali hadhi, cheo au historia waliyowahi kuwa nayo.