KERO Halmashauri nyingi zinachelewesha kuthibitisha watumishi kazini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
HR haswa upande wa halmashauri nyingi ni kero, hawashughulikii swala la uthibitishwaji kazini watu wamekaa takriban miaka miwili hawajathibitishwa.

Hakuna maelezo kamili ni uzembe uliopitiliza
 
Auto pilot state yako mengi yanawasubiri. Those in power wanajitahidi to grasp whatever comes their way kabla ya muda kuisha
 
Back
Top Bottom