Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Zip 4Miaka ya 2000 mwanzoni jiji la Mbeya walijenga Shule ya Mkapa ambayo ni ya msingi lakini inafundisha kwa kiingereza, ada yake ni ndogo sana ukilinganisha na zile za private. Mpaka sasa wana shule 3 za aina hiyo na wana mpango wa kujenga zingine 3.
Kwa sababu kuanzia sekondari masomo ni kwa kiingereza nafikiri huu ni utaratibu mzuri katika kutoa elimu bora. Ingefaa halmashauri zingine kuiga jambo hili.
Hii Chief Mwashinga ipo wapi?Zip 4
MKAPA
AZIMIO
MAGUFULI
CHIEF MWASHINGA
Mkuu Magufuli na Chief Mwashinga zipo sehemu gani?Zip 4
MKAPA
AZIMIO
MAGUFULI
CHIEF MWASHINGA
Wala hilo halijaanzia huko Mbeya ,Tunduma zipo tena 2 alafu hapo Mbeya kuna shule iko jirani na stand Kuu ilijengwa na Serikali miaka mingi na pia ziko pia mikoa mingine.Miaka ya 2000 mwanzoni jiji la Mbeya walijenga Shule ya Mkapa ambayo ni ya msingi lakini inafundisha kwa kiingereza, ada yake ni ndogo sana ukilinganisha na zile za private. Mpaka sasa wana shule 3 za aina hiyo na wana mpango wa kujenga zingine 3.
Kwa sababu kuanzia sekondari masomo ni kwa kiingereza nafikiri huu ni utaratibu mzuri katika kutoa elimu bora. Ingefaa halmashauri zingine kuiga jambo hili.
Tulisha kubaliana na mwendazake kingereza hakitusaidii kitu, sasa kujenga shule za kingereza ni kumsaliti, NECTA na NACTE wasizisajili, tutumie kiswahili kinatosha, kipo mpaka AU.Miaka ya 2000 mwanzoni jiji la Mbeya walijenga Shule ya Mkapa ambayo ni ya msingi lakini inafundisha kwa kiingereza, ada yake ni ndogo sana ukilinganisha na zile za private. Mpaka sasa wana shule 3 za aina hiyo na wana mpango wa kujenga zingine 3.
Kwa sababu kuanzia sekondari masomo ni kwa kiingereza nafikiri huu ni utaratibu mzuri katika kutoa elimu bora. Ingefaa halmashauri zingine kuiga jambo hili.
Ipo nyingine halmashauri ya Busokelo inaitwa Angaza, wapo vizuriZip 4
MKAPA
AZIMIO
MAGUFULI
CHIEF MWASHINGA
Miaka ya 2000 mwanzoni jiji la Mbeya walijenga Shule ya Mkapa ambayo ni ya msingi lakini inafundisha kwa kiingereza, ada yake ni ndogo sana ukilinganisha na zile za private. Mpaka sasa wana shule 3 za aina hiyo na wana mpango wa kujenga zingine 3.
Kwa sababu kuanzia sekondari masomo ni kwa kiingereza nafikiri huu ni utaratibu mzuri katika kutoa elimu bora. Ingefaa halmashauri zingine kuiga jambo hili.
Diamond na moja iko kule Gongo la mbotodsm kuna olympio na ipi sijui.
inasmekana kupata nafasi hapo,ni vita ya nne ya dunia.Diamond na moja iko kule Gongo la mboto
Kwa Mbeya hiyo Mkapa ina kama miaka 20 au zaidi, ilijengwa kipindi cha mkapa. Hizo za Tunduma zilianza lini?Wala hilo halijaanzia huko Mbeya ,Tunduma zipo tena 2 alafu hapo Mbeya kuna shule iko jirani na stand Kuu ilijengwa na Serikali miaka mingi na pia ziko pia mikoa mingine.
Kama unafuatilia utasikia wazuri huwa anazizungumzia hizo shule,pia zingine zilijengwa kama shule za mifano wakati wa Kikwete chini ya ufadhili wa Umoja wa Umoja wa Mataifa kama pilot project ya malengo ya Millenia.
Sema hivi ,kumeanza kuzuka huo mtindo kwa Halmashauri kujenga shule za mchepuo wa Kiingereza kwa kutumia pesa za walipakodi afu kwenye udahili zinageuzwa za biashara na chanzo cha mapato kwa Halmashauri husika.
Hii tabia haiwatendei haki walipakodi wote na inakuwa leta conflicts of interests na sekta binafsi.Kazi ya serikali ni kutoa huduma sio kufanya biashara.
Athari yake ni kwamba watoto wa maofisa na watu wenye uwezo ndio watasomesha watoto wao hapo huku Halmashauri husika ikitumia mapato waliyokusanya kutoka kwa wananchi kuhudumia vizuri hizo shule na kutelekeza shule zingine,zitafanywa bora liende.Hii sio sawa Kabisa na Serikali ipige marufuku.
Mwisho walimu wa hizo shule watakuwa wale wazuri na wako paid vizuri afu vilaza wanaletwa shule za kayumba ambako pia watoto wamerundikana madarasani hadi kukaa chini.
Labda wameanza kujiongeza. Kipindi kile wanataja shule ambazo hazitatoa elimu bure niliona zikitajwa Mbeya mbili na moja sijui ilikuwa wilaya gani.Siyo Mbeya Halmashauri zote sasa zinazo hizo shule
Hiyo ya kyela ni ya serikali kweli, au ni ile ya Judy kule Ngonga?Kule Kyela ipo moja pia.
Tunduma ina miaka 4 hivi na saizi wanajenga nyingineKwa Mbeya hiyo Mkapa ina kama miaka 20 au zaidi, ilijengwa kipindi cha mkapa. Hizo za Tunduma zilianza lini?
Kweli, hili linaweza tengeneza matabaka lakini matabaka ni asili ya mwanadamu. Hata makazini watu wenye digrii na uzoefu sawa hupewa mishahara tofauti.
Mwendazake hana haki ya kuwapangia watanzania wanachokitaka hivyo hakuna usaliti wowote anaofanyiwa.Tulisha kubaliana na mwendazake kingereza hakitusaidii kitu, sasa kujenga shule za kingereza ni kumsaliti, NECTA na NACTE wasizisajili, tutumie kiswahili kinatosha, kipo mpaka AU.