A
Anonymous
Guest
Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua.
Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika kuandika barua ya kuomba kuthibitishwa.
Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika kuandika barua ya kuomba kuthibitishwa.