Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Halmashauri ya Jiji la Tanga imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2.6 kwa vikundi 315 ikiwa ni mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ambayo ni mpango wa serikali wa kuinuia wananchi wake kiuchumi kwa kwa Vijana, Kinamama na watu wenye ulemavu.
Kati ya vikundi 315, vikundi vya wanawake ni 185, vijana 106, na watu wenye ulemavu 24.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
Kati ya vikundi 315, vikundi vya wanawake ni 185, vijana 106, na watu wenye ulemavu 24.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama