mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,565
- 2,944
si ndo hapo, halaf mtu hakuwepo kwnye utumishi huku nyuma unaanzaje tu kumpandisha daraja?? yaani unaingiza jina moja kwa moja kwnye daraja la juu huku taarifa za utumishi wake wa awali hazipo, nani atakayepitisha huko utumishi??kuna Lawson utapita wapi, labda anataka ile kitu yao"UHAKIKI"