M mliverpool JF-Expert Member Joined Jan 6, 2015 Posts 1,565 Reaction score 2,944 May 10, 2021 #21 kitowowoti said: kuna Lawson utapita wapi, labda anataka ile kitu yao"UHAKIKI" Click to expand... si ndo hapo, halaf mtu hakuwepo kwnye utumishi huku nyuma unaanzaje tu kumpandisha daraja?? yaani unaingiza jina moja kwa moja kwnye daraja la juu huku taarifa za utumishi wake wa awali hazipo, nani atakayepitisha huko utumishi??
kitowowoti said: kuna Lawson utapita wapi, labda anataka ile kitu yao"UHAKIKI" Click to expand... si ndo hapo, halaf mtu hakuwepo kwnye utumishi huku nyuma unaanzaje tu kumpandisha daraja?? yaani unaingiza jina moja kwa moja kwnye daraja la juu huku taarifa za utumishi wake wa awali hazipo, nani atakayepitisha huko utumishi??
Congressman JF-Expert Member Joined Jun 2, 2020 Posts 781 Reaction score 2,305 May 10, 2021 #22 Hapa kuna uongo mwingi sababu suala hilo haliwezekani